nchi gani?BYD wanatuletea Sedan Kali inayokwenda kwa jina la BYD Da Han.
View attachment 3686134
Inakuja na versions tatu, zote zinatumika battery kubwa la 102.3 kWh lithium iron phosphate (LFP) second-generation Blade Battery. View attachment 3686140
View attachment 3686135
Katika izo versions Kuna RWD inayoenda Kilometa 1,008 na acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 5 na AWD yenyewe inaenda Kilometa 880, ingawa Ina motors mbili, na iko fast zaidi 0-100 kwa sekunde 3.
View attachment 3686136
Pia, unaweza kufast charge kutoka 10% hadi 97% kwa dakika 9 tu.
View attachment 3686137
Da Han Ina Driver assistance ya BYD inayoitwa God’s Eye 5.0, roof-mounted LiDAR inayosaidia Autopilot (Urban NOA), na automated valet parking.
View attachment 3686138
Ndani Kuna 17.3-inch 3K central display ikiwa na BYD AI voice agent, anaitwa DiDiXia kwa China. Wapenzi wa music, Kuna 7.1.4-channel Devialet sound system ikiwa na jumla ya spika 31.
View attachment 3686139
Bei yake itaanzia $35k hadi $42k.
zisije kuwa kama pikipiki za Honiao ambazo zinadumu mwaka!Watauza global, ila imezinduliwa nyumbani kwao BYD, China.
Ngebe, nyodo, majigambo, madharau, kiburi na majivuno ya Elon Musk kwisha. Tesla chalii kwiiishaa maamaee!BYD wanatuletea Sedan Kali inayokwenda kwa jina la BYD Da Han.
View attachment 3686134
Inakuja na versions tatu, zote zinatumika battery kubwa la 102.3 kWh lithium iron phosphate (LFP) second-generation Blade Battery. View attachment 3686140
View attachment 3686135
Katika izo versions Kuna RWD inayoenda Kilometa 1,008 na acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 5 na AWD yenyewe inaenda Kilometa 880, ingawa Ina motors mbili, na iko fast zaidi 0-100 kwa sekunde 3.
View attachment 3686136
Pia, unaweza kufast charge kutoka 10% hadi 97% kwa dakika 9 tu.
View attachment 3686137
Da Han Ina Driver assistance ya BYD inayoitwa God’s Eye 5.0, roof-mounted LiDAR inayosaidia Autopilot (Urban NOA), na automated valet parking.
View attachment 3686138
Ndani Kuna 17.3-inch 3K central display ikiwa na BYD AI voice agent, anaitwa DiDiXia kwa China. Wapenzi wa music, Kuna 7.1.4-channel Devialet sound system ikiwa na jumla ya spika 31.
View attachment 3686139
Bei yake itaanzia $35k hadi $42k.
Mauzo yanashuka. US wanakaza kuweka tariff kubwa kwa EV za kutoka China ila wapi. Bado zinamsumbua.Ngebe, nyodo, majigambo, madharau, kiburi na majivuno ya Elon Musk kwisha. Tesla chalii kwiiishaa maamaee!
Watu watakimbilia sababu ni bei nafuu, ila ukikaa nalo mwaka gereji inakuwa kama sebuleni kwako. Si hata kwenye magari makubwa ya mizigo huwa tunawaona wanaokimbilia ya mchina tena mapya lakini baada ya mda inachoka kushinda scania used iliyoanza tumika mwaka 2005🥲Mchina ameshindana, akipunguza gharama za ndinga zake, anaweza kuteka soko la Mjapan hapa Bongo
Hiyo ni kama milioni 90 hivi kabla ya Kodi na usafiri 🙌
Kumbe Kuna changamoto ya durability 🙌Watu watakimbilia sababu ni bei nafuu, ila ukikaa nalo mwaka gereji inakuwa kama sebuleni kwako. Si hata kwenye magari makubwa ya mizigo huwa tunawaona wanaokimbilia ya mchina tena mapya lakini baada ya mda inachoka kushinda scania used iliyoanza tumika mwaka 2005🥲
Bado kidogo kuteka soko Mkuu. Alianza na pikipiki, leo huzioni Yamaha au Honda barabarani.Mchina ameshindana, akipunguza gharama za ndinga zake, anaweza kuteka soko la Mjapan hapa Bongo
Hiyo ni kama milioni 90 hivi kabla ya Kodi na usafiri 🙌
Zipo InstagramHivi bongo gari za kuchaji zipo? Naona kama Kwa gari ndgo za misele zitaokoa sana gharama za mafuta
Umelinganisha na running cost ya lori jpya la Mchina na Scania used kilomita milioni moja kwa kipindi cha miaka mitatu.Watu watakimbilia sababu ni bei nafuu, ila ukikaa nalo mwaka gereji inakuwa kama sebuleni kwako. Si hata kwenye magari makubwa ya mizigo huwa tunawaona wanaokimbilia ya mchina tena mapya lakini baada ya mda inachoka kushinda scania used iliyoanza tumika mwaka 2005🥲
Kwa miaka mitatu hadi mitano ya mwanzo mtu wa gari la kichina anaweza kuona amewin ila baada ya hapo ni kilio, ukiachilia mbali durability magari mengi ya kizungu na kijapani bado yana ile comfortablity kubwa muda wa kuendesha na usalama pia upo juu, mchina ana mbio nzuri kwenye kudevelop magari ili kwa sasa bado kuna gap la wazi kwenye magari yake na waliomtangulia kwenye industry hiiUmelinganisha na running cost ya lori jpya la Mchina na Scania used kilomita milioni moja kwa kipindi cha miaka mitatu.