Haka nishakaona. Sasa kweli nitoe karibu 70m ninunue hiko kiberiti?Hii tamu sana kwa misele ya mjini. Range hadi 380 km kutegemea na battery (30 kWh au 43 kWh). View attachment 3614120View attachment 3614121
BYD Tanzania wanasema $26,000 (VAT+) sasa hapo kodi nadhani bado.
Dirisha/kioo kina design ya kukunja keenda juu nadala ya kunyooka. Kingenyooka usingeona kitasa kimeshuka sana.Hii chuma sijaielewa kwenye hilo eneo la kitasa cha mlango wa abiria wa nyuma. Kuna namna kipimo kutoka kwenye kitasa hadi usawa wa dirisha ni kirefu sana.
Anyway, umejuaje kuwa huyo dada ni wa JFs?.
Hivi zile ni EV au za kawaida?JETOUR nazo zimevamiwa kwa Kasi, nakutana nazo za kutosha sasa
Naona Wana EV's na Plug In hybridsHivi zile ni EV au za kawaida?
kwani zenyewe ni full EV pia?JETOUR nazo zimevamiwa kwa Kasi, nakutana nazo za kutosha sasa
Ziko za full EV'skwani zenyewe ni full EV pia?
Zile zimekaa vizuri.Naona Wana EV's na Plug In hybrids
lakini hapo Tz zimefika kweli?Ziko za full EV's
Jetour kuna moja design ya new defender hivyo hivyoZile zimekaa vizuri.
Sana bro, wasiwasi wangu mimi ni kama walio nao watu wengi humu Tunaona vyuma vya mjapan,mjerumani vya 1990's viko road mpk Leo sasa lifespan ya huyu machina ndo sijui.Zile zimekaa vizuri.
JETOUR zipo nyingi sana. Zinauzwa na Africarriers.lakini hapo Tz zimefika kweli?
je kuna charging places za kutosha?
kwa Nairobi hotel kubwa kubwa zote zinamaeneo yakuchajia magari ya umeme.
kwenye basement sasa sijui kwa Tz inakuwaje ambapo hotel kubwa ni kama Hyatt na serena
Kuna wahindi naona wanatamba nayo mjini hapaJetour kuna moja design ya new defender hivyo hivyo
mchina kamwaga mzigoJETOUR zipo nyingi sana. Zinauzwa na Africarriers.
Na sisi tuwe kama Wazungu/ Wajapan au Wachina nunua brand new car life span 5-6yrs unabadili gari. I'm sure miaka 5-6 zinadumu bila shida.Sana bro, wasiwasi wangu mimi ni kama walio nao watu wengi humu Tunaona vyuma vya mjapan,mjerumani vya 1990's viko road mpk Leo sasa lifespan ya huyu machina ndo sijui.
mjini wapi?Kuna wahindi naona wanatamba nayo mjini hapa
Zinavutia sana. Amazing interior.mchina kamwaga mzigo