BYD Dolphin EV Morogoro Road ikiendeshwa na mdada wa Jamiiforums! EV4Everybody!

Hii chuma sijaielewa kwenye hilo eneo la kitasa cha mlango wa abiria wa nyuma. Kuna namna kipimo kutoka kwenye kitasa hadi usawa wa dirisha ni kirefu sana.

Anyway, umejuaje kuwa huyo dada ni wa JFs?.
Dirisha/kioo kina design ya kukunja keenda juu nadala ya kunyooka. Kingenyooka usingeona kitasa kimeshuka sana.
 
Sana bro, wasiwasi wangu mimi ni kama walio nao watu wengi humu Tunaona vyuma vya mjapan,mjerumani vya 1990's viko road mpk Leo sasa lifespan ya huyu machina ndo sijui.
Na sisi tuwe kama Wazungu/ Wajapan au Wachina nunua brand new car life span 5-6yrs unabadili gari. I'm sure miaka 5-6 zinadumu bila shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…