BYD Dolphin EV Morogoro Road ikiendeshwa na mdada wa Jamiiforums! EV4Everybody!

Within that range it's survive.Ila nje ya hapo sidhani.CIF tu gari za miaka ya karibuni ni shida
Unajua ule msemo wa wazungu atf haiibadilishwi ni life time? Wana maana miaka 5 au 6 hapa wanajua mnunuaji wa brand new kashaiuza na warranty ilishaisha.
Kununua used EV itakuwa risk kuliko used ICE car kwasababu ya gharama ya kubadili battery mpaka bei za battery ziwe kama kubadili battery ya ICE.
 
Hahah hapo kwny lifetime umenikumbusha na kwny oil za gearbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…