π€£π€£ Ndio hivo ni mfumo wa box kama Rumion flaniIla vitu vingine, sasa hiko si km kibox tuu kikawekwa matairi?
πππ
Hii inakufaa kabisa madam πIla vitu vingine, sasa hiko si km kibox tuu kikawekwa matairi?
πππ
Unyama sana watanunua matajiri naona saivi trend ya gari za umeme bongo ipo penyeweBYD kujaribu kuingia soko la Japan, wamezindua "kei car" BYD Racco, kwenda kushindana na wakina Honda N, Nissan Roox, Nissan Sakura nk.
View attachment 3684705View attachment 3684709
Racco ni FWD 5 doors microvan inayokuja na battery la 22 kWh au 35 kWh, ambazo zinakupeleka Kilometa au full charge.
View attachment 3684706View attachment 3684710
Racco Ina power sliding doors, NFC smartphone key, Kwa ndani Ina screen ya 10 inch, inayosupport Android Auto na Apple Play, Level 2 ADAS, heated front seats, steering wheel na cupholder, na tyre pressure monitoring system.
View attachment 3684708
Bei ni kuanzia $13,000 kwa base model hadi $15,000 kwa premium models.
View attachment 3684711
Hii sasa ni RHD, itafika Tanzania baada ya miaka kadhaa zijazo.
ππππ€£π€£ Ndio hivo ni mfumo wa box kama Rumion flani
Mie hivyo sio vitu vyangu, unazijua zile ndinga za kibabe, basi ndio pigo zangu.Hii inakufaa kabisa madam π
MaESCELSADE eeMie hivyo sio vitu vyangu, unazijua zile ndinga za kibabe, basi ndio pigo zangu.
πππ
Hicho kwa mishe za town chenyeweee..wese si umeliona kule limeshuka huku limepandaa...oyaaa...sio poaIla vitu vingine, sasa hiko si km kibox tuu kikawekwa matairi?
πππ
Noumaa sanaa, πππHicho kwa mishe za town chenyeweee..wese si umeliona kule limeshuka huku limepandaa...oyaaa...sio poa