Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
EVGasoline au EV?
Hatari sana basi...
Kmmmk sio poa
Sasa ni wakati wa developers wa racing games kuintroduce huu unyama
Mimi nilidhani Xiaomi ndio Mchina mkali wa kazi za roadster
Kumbe BYD ni mnoma hivi, hawa jamaa ni game changer kwenye EV
Hiyo gari inaweza kuchomoka matairi na yakawai mbele.
Nimelishwa vyura , minyoo nyama zisizoeleweka na hao watu.
Siwaamini kwa lolote
Aloo hatari sanaa vipi price yake? Au kama kawaida ya wachina you pay cheap but you get more π
π₯π₯π₯
Mkuu hizo mbona ulikula mboga. Mchaina anakupokea kama ulivyokuja.Yaani unakaa kudiscuss habari ya wachina hapo.
Hiyo gari inaweza kuchomoka matairi na yakawai mbele.
Nimelishwa vyura , minyoo nyama zisizoeleweka na hao watu.
Siwaamini kwa lolote