Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #21
Naona siku dola magharibi likianguka na China kuchukua nafasi mtafurahi sana.
Kwa bahati mbaya sana kizazi hiki hakitashuhudia hilo.
Ni lini China ilisema inataka kuchukua nafasi ya Marekani?
Marekani tunaichukulia kama modern case study ya kujifunza jinsi ambavyo superpower au empire hu-rise na ku-fall
Marekani tunaichukulia kama modern case study ya kujifunza jinsi ambavyo superpower au empire hu-rise na ku-fall