Bye bye- i love you all-mwaaa!

....kwaherini jamaaa naondokaaaaaaaaaaaaa ..kwaherini jamaa naondoka..kwambaliii bahariniiii mawimbi yananipeperushaaaa.......iyaaaaaaaiaaa!!!!!
wakati kipeperuka,
peperukia ukingoni,
waambie nakuja,
wote waliontangulia
hahahahaa!!!!
 
waenda peponi nini
ama ndio ushachukua nyota zetu unashangilia ushindi
yarabi z.....likujualo alikulki likakw........
am kidding bra kila la kheri natumaini utakuwa kijijini pasipo na mtandao else ukiingiamjini si mbaya kuwakumbuka maahabuba
hakuna aliyenifaa kwa nyota
hivyo shaka ondoa
hata huko peponi natamani kwenda,
ila hakuna chalari, umberere wala irembwe
 
asante mpendwa usihofu august najaa tena kwa nyumba
 
Bye!!!!!!!!!!!!!!!!! Utuletee lubisi utakaporudi.
 
naenda kwa msiba wa kujitakia ila niombee ndugu-si kwa ubaya ila naondoka kidogo

Mhh!!! Tafadhali usiende huko tusije kukukosa kabisa, never never go please!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…