Bye... Bye... Investors....

Bye... Bye... Investors....

Mfano wale jamaa walio kamata ndege yetu,issue ingesolviwa na our court who do you Think could have won??

Hizi sheria zina umuhimu wake
 
Just shows how biased you're, ill motivated na wivu umekujaa, towards Tz, dua la kuku halimpatagi mwewe. Naona umeruka wahadhiri waliocomment positive remarks about these changes and you prefered to consider those predicting doom, i understand you're just another hater, but as the article said, it will not bother the honest investors, wenye hidden agendas ndio waanze kupack, shamba la bibi no more here. So proud of this.
No one invests in a country they will get screwed over
 
Mfano wale jamaa walio kamata ndege yetu,issue ingesolviwa na our court who do you Think could have won??

Hizi sheria zina umuhimu wake
Mkuu,

Makubaliano kati ya "nchi mbili tofauti" kwenye maswala ya kibiashara hua yanatakiwa yafuate sheria za kimataifa ili kusiwe na mvutano wa kufata sheria za nchi moja, sheria za kimataifa zipo "fair" sana, na ili zifate sheria za kimataifa pawe na "fair play" kati ya hizo nchi mbili. Pili kuhofia kuna viongozi wana nguvu ya kuziendesha "mahakama za nchi fulani" kwa nguvu na kupelekea wawekezaji kutokua na imani za mahakama za hizo nchi.

Tatizo la nchi yetu kujitoa katika mahakama za kimataifa sio "solution", bali ni hasara tutapata, solution ilitakiwa tuwe tunaingia mikataba mizuri kisheria ili hata tukienda mahakama za kimataifa tuweze kushinda case zetu, tatizo letu tulikua tunawapa mikataba wawekezaji ambayo ya kinyonyaji kwa tamaa zetu, na ndio maana tulikua tunashindwa case.

Mfano wa hoja yangu,

Case ya Dowans SA vs Tanesco TZ (Misc Case No. 8 Of 2011), hii ilipelekwa mahakama ya kimataifa ya usuluhishi na tulishindwa, ikapelekwa mahakama kuu ya Tanzania na bado tukashindwa tena (na fidia iliongezwa zaidi na mahakama kuu ya tanzania, ukilinganisha na fidia iliotolewa na mahakama ya usuluhishi ya kimataifa).

Solution serekali iwe makini kwenye kuwapa mikataba wawekezaji ya kisheria na ya haki, na si kukimbilia kujitoa katika hio mahakama. Mahakama ya kimataifa ni moja kati ya mambo yanayovutia wawekezaji wa nje wenye nia thabiti kuwekeza nchini.

Mfano mwingine,

USA hawezi kufanya uwekezaji nchini IRAN au RUSSIA kama watajitoa katika mahakama za kimataifa za biashara, akihofia kua wakivunja mkataba na kepelekana katika mahakama za hizo nchi, viongozi wana amri ya kuziendesha hizo mahakama na kutoa hukumu itakaowapa wao faida.

Nani anaevutiwa kwenda kufanya uwekezaji nchini somalia? Sio kwa sababu tu ya vita, bali pia hata likitokea swala kadhulumiwa hawezi kwenda kulalamika pahala popote.
 
Hiyo ndo point yangu pia mkuu,hakuna mtu mwenye akili anaeweza kuinvest sehem kama hakuna sheria za kimataifa,kamwe now wawekezaji watakimbia.

Tunakosea sana,hata nchi kubwa zenyewe hazijajitoa kwenye hii kitu,sisi ni nani
 
dah hapa sasa ndugu yangu lugha gongana, hamana ya kiswahili?

Umejifunza Kiingireza tangu darasa la tatu mpaka kidato cha nne, inatosha kabisa kujua kuzungumza na kuandika kwa ufasaha kabisa angalia wanafunzi wanaenda China na Russia na baada ya kujifunza lugha kwa mwaka mmoja au miwili wanafundishwa masomo yote kwa Kichina au Kirusi na wanarudi na first class na fluent kwenye lugha hizo! sasa tatizo liko wapi kwa Wa Tz wanaojifunza Kiingereza kwa miaka 10??????? Haingiii akilini kabisa, ni uzembe na kutokujali tu!
 
Just shows how biased you're, ill motivated na wivu umekujaa, towards Tz, dua la kuku halimpatagi mwewe. Naona umeruka wahadhiri waliocomment positive remarks about these changes and you prefered to consider those predicting doom, i understand you're just another hater, but as the article said, it will not bother the honest investors, wenye hidden agendas ndio waanze kupack, shamba la bibi no more here. So proud of this.

Ama andika kwa Kiingereza au kwa Kiswahili!
 
Yaani mtupilie mbali 'international arbitrations' alafu wawekezaji wawe wanapeleka kesi zao kwa mahakama za kitanzania ambazo huwa zinatoa hukumu kama hii hapa??? [emoji15]
bbc7c0fb55d4680cded6205198fd0fd6.jpg
I had never seen this shit!, can't believe what I just read!. Was this a quote from the constitution, was it a personal written verdict in a court of law or somewhere on a baraza?. What really dictated the above?. Looks like a some kind of 'word doodling'!. Can't comprehend.
 
Amini usiamini hiyo ilikuwa ni hukumu iliyoandikwa na Senior Resident Magistrate huko Tanzania, kwenye kesi dhidi ya mbunge flani wa upinzani, kwa jina Sugu.
 
Back
Top Bottom