MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
- Thread starter
- #21
Nahitaji latest ingependeza kama ungenitajia model.Samsung zenye snapdragon zimejaa wewe umeenda maduka gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji latest ingependeza kama ungenitajia model.Samsung zenye snapdragon zimejaa wewe umeenda maduka gani?
Snapdragon ni matoleo ya zamani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sitaki Matoleo ya zamani mkuu.
Ngoja nikuleteeSnapdragon ni matoleo ya zamani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu naona hujanielewa na unacheka bila kuelewa, nahitaji unitajie Aina yako ya simu unayosema na iwe latest model ili niweze kucheki mwenyewe.Snapdragon ni matoleo ya zamani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahsante mkuu, hiyo Reno 5 naifikiria Ila hiyo Find X pro kama ya nyumba kidogo.Chukua Oppo Reno 5 ya 5G au Oppo Find X Pro.
Mtk zimeanza kuboreka, ukigoogle fastest processor kati ya processor tano ipo moja ya mtk.Mkuu Ahsante Kwa kumfafanulia
Sasa najiuliza nimecheki hapa Samsung A32 5G ina chip ya Mtk na ukiangalia Mtk nyingi kama Tecno zinavyozinguaga baada ya wiki Tu zinaanza kustack na kupostop app Nimeamua Nikimbilie humu nipate aghalau mwanga.
Nilimaanisha X3 ProAhsante mkuu, hiyo Reno 5 naifikiria Ila hiyo Find X pro kama ya nyumba kidogo.
Watu wengi wamekuwa wahanga wa kulalamika juu ya hizi simu ndo maana nahitaji simu yenye uhakikaKwa huku alikohamia android asipofikia korea lazima arudi US mbio, ikitokea kateleza kaanguka china basi afikie HUAWEI tu.
😁😁Ukipata time karibu tena. IOS
AhsanteWasalimie huko uendako.
Sisi tupo
Hoi humu haipoNilimaanisha X3 Pro
![]()
Oppo Find X3 Pro - Full phone specifications
Oppo Find X3 Pro Android smartphone. Announced Mar 2021. Features 6.7″ display, Snapdragon 888 5G chipset, 4500 mAh battery, 512 GB storage, 16 GB RAM, Corning Gorilla Glass 5.www.google.com
Sijaelewa chiefHoi humu haipo
Huku nilipo haipo hiyo simu.Sijaelewa chief
Unatumia simu gani mkuu.ios nimetumia mwaka mmoja tu nimeona upuuzi..
Nimerudi android ila sio Samsung, maana stress za huyo mkorea nayo ni habari nyingine..
Powa mkuu ngoja nikuleteeMkuu naona hujanielewa na unacheka bila kuelewa, nahitaji unitajie Aina yako ya simu unayosema na iwe latest model ili niweze kucheki mwenyewe.