Bye bye ios

Mkuu Ahsante Kwa kumfafanulia


Sasa najiuliza nimecheki hapa Samsung A32 5G ina chip ya Mtk na ukiangalia Mtk nyingi kama Tecno zinavyozinguaga baada ya wiki Tu zinaanza kustack na kupostop app Nimeamua Nikimbilie humu nipate aghalau mwanga.
Mtk zimeanza kuboreka, ukigoogle fastest processor kati ya processor tano ipo moja ya mtk.
 
Kwa huku alikohamia android asipofikia korea lazima arudi US mbio, ikitokea kateleza kaanguka china basi afikie HUAWEI tu.
Watu wengi wamekuwa wahanga wa kulalamika juu ya hizi simu ndo maana nahitaji simu yenye uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…