TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Nina Tab yao hao wakorea ambayo joto la Chumbageni liliimenya kioo!! Ipo naangalia kama sioni imevunjika kioo baada ya kupewa bei ya kioo! cover yake nayo mashati...!Samsung is the best brand ever kuanzia note 4 na matoleo mengine yapo poa sana yani ukimiliki hutojutia inatakiwa utunzaji tu maana ukivunja kioo super Amoled display ni very quality & expensive
kitu halisi kutoka china ni sumu ya panya tu,vingine vyote magumashi mzee,acha kelele ziso na mashiko.Dunia ya kwanza ipi? Kwa vigezo vipi? Kama ni uchumi wa juu basi China pia ni dunia ya kwanza maana anawasumbua vichwa hao unaofikiria wewe ni dunia ya kwanza. Anauza sana bidhaa kwenye nchi zao ila wao wanapata tabu sana kupenyeza bidhaa China.
Kinachofanya bidhaa za nchi za magharibi kuonekana za maana ni ukubwa wa bei lakini haimaanishi zina ubora zaidi ya zile za China.
China wanakutengenezea kitu kutokana na uwezo wako wa kifedha. Tanzania soko limeangukia kwenye bei poa na siyo ubora ndiyo maana tunaona vitu vya China ni fake kumbe ndo chaguo letu. Ndani ya China wanatumia vitu vyenye ubora hata hivyo kuna majimbo watu wanatumia vitu vyenye ubora wa chini kama Tanzania.
Gharama za uendeshaji na kodi nchi za magharibi ni kubwa na hazikwepeki.
iPhone software zao awali walikuwa wakitengenezea Marekani na ku-assemble hukohuko lakini gharama za uendesheji zilikuwa kubwa kiasi kwamba bei za simu zao ilikuwa siyo rahisi kushuka. Baadaye walianza kutengenezea software zao China na ku-assemble Marekani. Wana eneo kubwa tu mithili ya kijiji huko China lenye kiwanda cha kutengeneza software.
Hivyo mkuu usiwabeze wachina hawa ndo wakombozi wa uchumi wa dunia. Wakati wewe una wahusudu wazungu, wazungu wana wahusudu wachina kimya kimya
Halafu WaTz tunalia ati EU wanakata misaada kwa sababu moja ya sheria zetu inapinga ushoga, du!!!Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
hahahahahHahaa wachina wamekula apple lote,wazungu walimega kipande kibishoo....
Utu tujamaa ni game changer
Ifuatilie mkuu, wako vizuri. Nadhan huenda ikawa ni simu ya Kwanza kuwa na 10GB RAMSijaitia machoni bado
Ndiyo Mkuu, Iphone hawana hamu na Wachina kabisa na Ujerumani nako kuna figisu figisu, Qualicomm ndiyo chanzo cha hayo yoteDuu 10GB RAM?
Hio ni mbinu tu ya kiintelijensia ya kuuza iphone 6 yake mtoa mada! Ha ha ha ina maana bado ujaelewa tu!
Mpya kuna MTU anaiuza 740kNaitaka hiyo IPhone,IWE NI MPYA. Nakupata wapi kamanda Mshana? Mapema tu asubuhi kesho tunamaliza biashara kama upo dar.
Lenovo hivi majuzi wametoa simu yenye 12GB RAM,sema jina ndo nimelisahauIfuatilie mkuu, wako vizuri. Nadhan huenda ikawa ni simu ya Kwanza kuwa na 10GB RAM
Korea mkuusamngis nazo si za china?
Ndio simu gani hizi samngis?