Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

Mimi natumia Huawei P8, ingawa ni ya siku nyingi kidogo, bado inatishia hizo wanazosema iPhone. Huawei ni simu nzuri sana. Sasa zimefikia P30 pro, iPhone bado ina kazi. China wana simu nyingi, za hadhi. Brand za kichina ndiyo kama: Huawei Honor, Huawei P series, Opp Find X, Nex, Xiaomi, Umidigi, ZTE, kiukweli ni simu nzuri sana

Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
pambana na p8 yako mkuu,usilinganishe na simu za dunia ya kwanza.
 
Hata hizo unazosema za dunia ya kwanza tumetumia na sasa tumeweka pembeni, dont become a single track thinker kwa kuwa umeaminishwa kuwa hiki ni bora tu, hakiwezi kudumu katika ubora forever. Mwanzoni magari ya kichina(mabasi) yalipoanza kuingia Tz, dharau ilikuwa kubwa sana. Leo ndiyo kimbilio. Kumbuka China na Korea ni nchi za dunia ya kwanza pia. IPhone X, ya sasa unaweza kuilinganisha na Samsung Note 9?

Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
 
Hata hizo unazosema za dunia ya kwanza tumetumia na sasa tumeweka pembeni, dont become a single track thinker kwa kuwa umeaminishwa kuwa hiki ni bora tu, hakiwezi kudumu katika ubora forever. Mwanzoni magari ya kichina(mabasi) yalipoanza kuingia Tz, dharau ilikuwa kubwa sana. Leo ndiyo kimbilio. Kumbuka China na Korea ni nchi za dunia ya kwanza pia. IPhone X, ya sasa unaweza kuilinganisha na Samsung Note 9?

Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
acha uongo ww huwezi kutumia Samsung note 8 halafu ukailinginisha na huawei p8 utakuwa kichwani siyo timamu kabisa,kwanza unaanzaje???
 
Taarifa ndiyo hiyo, usilolijua litakusumbua...acha ujuaji

siyo ujuaji,kubali hali yako kama huna sema,siyo kujishebudua eti tushatumia sana tukaona hazina kitu,nikaamua kutumia P8[emoji16][emoji16][emoji16]lazima ugeuke kituko,tena mi nimeshangaa ule mshangao wa Dr Lwaitama.hah!
 
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Soko la iphone limeshuka bei kwa sababu Iphone refurbished zimekuwa nyingi kuliko iphone halisi..asilimia kubwa ya iphone zinazouzwa kwenye nchi nyingi za Afrika ni refurbished ndio sababu nowdayz iphone zina matatizo mengi kwenye upande wa hardware kwa sababu sio Halisi japo zinafanya kazi kama iphone.Na wachina wanafanya hivi makusudu ili kuididimiza Apple wakati huo wao wakitengeneza Brand zenye quality nzuri kama Huawei,xiaomi Na simu kama Oneplus.nafikiri umeona Huawei P20 ilivyokuwa na ubora kuliko Iphone X
 
Made in china assembling in California sijui nani mgabe hapo
 
Pale mganga wa kienyeji anapoandika habari ya tech...loool! 4th quater ya 2018 wanaoongoza kwa mauzo ndani ya China siyo Apple wala Huawei, ni Samsung wameshika soko kwa asilimia 23, wakifuatiwa kwa mbaali na Apple asilimia 15, Huawei ya tatu akikamata asilimia 11 yasoko!! Mimi nina iPhone na Android. natumia Huawei toka walivotoa mate 9, mate 10 na january nannua mate 20 pro...siongei kishabiki, iPhone bado imeshika sana soko, wengi kati ya watumiaji ni iSheep wanaonunua nembo ya tunda...hawa ndiyo wanachefua hata wapenzi wa kweli wa iPhone wanabadili mwelekeo na kuamua kubadili primary smarphone kwenda android, iPhone anabaki nayo kwamatumizi maalum tu!

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
OnePlus 6T,Samsung galaxy Note 9,Oppo find X,..best smartphones kwa mujibu wa tech reviewers wengi youtube..
 
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Ila sidhani km iphone wanatetereka, maana soko lao lipo marekani, japan na uingereza zaidi kuliko china so still wapo vizuri sana

Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app
 
Soko la iphone limeshuka bei kwa sababu Iphone refurbished zimekuwa nyingi kuliko iphone halisi..asilimia kubwa ya iphone zinazouzwa kwenye nchi nyingi za Afrika ni refurbished ndio sababu nowdayz iphone zina matatizo mengi kwenye upande wa hardware kwa sababu sio Halisi japo zinafanya kazi kama iphone.Na wachina wanafanya hivi makusudu ili kuididimiza Apple wakati huo wao wakitengeneza Brand zenye quality nzuri kama Huawei,xiaomi Na simu kama Oneplus.nafikiri umeona Huawei P20 ilivyokuwa na ubora kuliko Iphone X
Limeshuka kwa takwimu za nani, usichukulie kuwa waagizaji wengi wakiagiza huawei, tecno, etc bila kuagiza iphone bas soko limeisha, kumbuka kuna watu huko nchi za mabara mengine wananunua kila toleo linalotoka na hawana ratiba ya kuacha kununua ikitoka

Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app
 
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Ila mkuu uko vema ...
Maana kila ukianzisha uzi lazima watu wafarakane
 
Taarifa ndiyo hiyo, usilolijua litakusumbua...acha ujuaji

Unasema huyu jamaa ameacha kuwa mbunge kaenda kuwa mwenyekiti wa mtaa alafu anasema ni bora kuwa mwenyekiti wa mtaa kuliko ubunge..
Maana mwenyekiti wa mtaa anaposho nyingi haahaa
 
Namimi nataka kusema hatuwezi kuingia katika mtego huu hata kidogo naomba taarifa hii muikanushe imegushiwa

Kurugenzi ya Mawasiliano
Hio ni mbinu tu ya kiintelijensia ya kuuza iphone 6 yake mtoa mada! Ha ha ha ina maana bado ujaelewa tu!
 
bado una uzamani mkuu,kamata samsung toleo za za kuanzia mwaka jana uone battery ilivyoboreshwa hata Iphone hawatii mguu.Kamata Samsung A7(2017),S8,S8+,Note 8 utashangaa
Sawa asante hata hivyo umri umesonga
 
Back
Top Bottom