mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
pambana na p8 yako mkuu,usilinganishe na simu za dunia ya kwanza.Mimi natumia Huawei P8, ingawa ni ya siku nyingi kidogo, bado inatishia hizo wanazosema iPhone. Huawei ni simu nzuri sana. Sasa zimefikia P30 pro, iPhone bado ina kazi. China wana simu nyingi, za hadhi. Brand za kichina ndiyo kama: Huawei Honor, Huawei P series, Opp Find X, Nex, Xiaomi, Umidigi, ZTE, kiukweli ni simu nzuri sana
Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app