Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatoaje copy simu ambayo yenyewe tu ni kama copy?Mpare sio 😬😬😬😬😬
Mkuu iPhone zina copy Huawei haina copy wala second hand!
Sio kwa dunia ya leo hapo Yi Wu kuna vijana wa kichina ni watundu wamepitilizaIphone haiwez kufa maana inatumia software yake pekee
Afu kingine iphone 6 ni ya 2014 uku huawei p10 ni 2017
Afu unit za iphone6 ziliuzwa nyingi sana lazima bei ishuke maana wauzaj ni wengi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nataraji kuzindua brand yangu Tanzania in the near future... Niombee
Naona watumia tecno tuko wengi sana Mr Prondo?Ngoja watumia iPhone waje mpambane sisi watumia Tecno wacha tukae kimya
Mpe tuZawadi ya xmas nimemnunulia Mtoto wa Baba iphone x aachane na itel yake...
Kwaiyo nisimpe mana akiwa anatumia ataonekana kama ana vina saba hapo juu[emoji3][emoji3]
labda iPhone sio Samsung ambazo kila siku wanahangaika kubuni betri inayodumu muda mrefu bila mafanikioIphone na samsung hazina mshindani labda kama kuna sayari nyingine nao wanatengeneza sim au tusubiri TOUCHMATE ya baba wa bongo[emoji16][emoji16][emoji16]
bado una uzamani mkuu,kamata samsung toleo za za kuanzia mwaka jana uone battery ilivyoboreshwa hata Iphone hawatii mguu.Kamata Samsung A7(2017),S8,S8+,Note 8 utashangaaKorea.... Kilichomuua Samsung ni battery
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
achana uzamani mshana[emoji16][emoji16]kweli umestack mpka leo bado wazungumzia note 4???khe!![emoji23][emoji23][emoji23]Note 4 ndio pekee zilijitahidi hata kwa features
Mshana jr huko kwenu hamvuki njia kutokana na foleni ya magari ya wachagaNimekusoma