Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

Apple products nyingi ni kama exclusive. Bei zake ziko juu na huzikuti sehemu za uswekeni. Wana focus kwenye ubora na uimara. Mimi kwenye simu hutaniuliza mara mbili, uchaguzi wangu siku zote ni iPhone.
 
Unapojaribu kum downgrade mtu halafu ukashindwa basi unaishia kujikanyaga tuu... Hizo simu unazosema they were not meant for every one zisingezagaa mpaka vichochoroni... Hizi business slogans zisiwabrainwash kiasi hiki....
Kuna simu kama Thuraya ambayo ni water proof na ni satellite ulizia bei yake uone... Bei yake si chini ya USD 2000 hizo ndio simu unazoweza kusema they were not meant for every one... Tembea uone

Jr[emoji769]
 
Apple unazoona zimezagaa mtaani ni used na refurbished za europe na china. Nenda kaulizie I phone SE saivi mtaani kama utapata mpya nipm!
 
Apple unazoona zimezagaa mtaani ni used na refurbished za europe na china. Nenda kaulizie I phone SE saivi mtaani kama utapata mpya nipm!
Kama kuna copy na zimezagaa mitaani huwezi kuziita exclusive tena! Nioneshe Thuraya hata refurbished moja tu au niambie ni wangapi wanaimiliki hapa bongo
Halafu ni iPhone sio l phone
Jr[emoji769]
 
Kama kuna copy na zimezagaa mitaani huwezi kuziita exclusive tena! Nioneshe Thuraya hata refurbished moja tu au niambie ni wangapi wanaimiliki hapa bongo

Jr[emoji769]
Tatizo lako hujui Simu. Thuraya sio simu kwa matumizi yetu haya ya kuchat whatsapp na Jamii forums
 
Tatizo lako hujui Simu. Thuraya sio simu kwa matumizi yetu haya ya kuchat whatsapp na Jamii forums
Sijui simu lakini Thuraya ni simu... Usijichanganye... Ndio hapo sasa ufahamu kitu kikiitwa exclusive nini maana yake... Halafu kumbe wewe unatumia simu kwa kuchat na WhatsApp tuu duu....
Simu ninayotumia mimi ni tracker, ni remote, ni bank ni almost kila kitu... Mnataka mmiliki iPhones halafu matumizi hamyajui

Jr[emoji769]
 
Mimi natumia simu zaidi ya hivyo ulivyoorodhesha wewe, nilikuwa najaribu kukuelewesha tuu..hoja yangu ni kwamba I phone siyo simu cheap kama wewe unavyotaka kuwaaminisha wadau hapa
 
hii story haina tofauti na ile ya kikokotodhi tu
 
XAO ndio kitu gani???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna copy na zimezagaa mitaani huwezi kuziita exclusive tena! Nioneshe Thuraya hata refurbished moja tu au niambie ni wangapi wanaimiliki hapa bongo
Halafu ni iPhone sio l phone
Jr[emoji769]
utaongea yote but kuna iphone na smartphone pia kuna mac na PC these apple devices they were not meant for everyone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…