Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

Iphone na samsung hazina mshindani labda kama kuna sayari nyingine nao wanatengeneza sim au tusubiri TOUCHMATE ya baba wa bongo[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kiukweli Mimi nipo Huawei, iPhone sijawai kushawishika nilianza na p9 lite nikaja p10 na sasa ni p20 pro kitu cha 128gb betr inakaa zaidi ya 24hr.ram gb 6.simu aipati moto..... IPhone anasubiri
Tutaaminije
 
Sasa mbona bei juu mzee, hizi marketing effort zako nimezikubali sana bro! Umetumia kitu ambacho wataalamu tunaita "buzz marketing." Lazma hio iphone ipate mteja ila ungefanya 300k ingependeza zaidi maana ni simu za malaya tu kwa sasa.
We jamaaa umefanya nicheke sana
 
Inaweza kuwa sio fake lakini sio mpya ni used inakuwa refurbished na kuuzwa tena.

Ukiifanyia benchmark testing ina pass kama kawaida.
 
Hata mimi mtani wako na samsung 7edge nakuunga mkono!
 
Iphone 6 million mbili..No way iPhone Xs max si itakuwa ni millioni kumi sasa??
 
Mleta uzi ni kama Vile anamlinganisha Mbappe na John Boko! I Phone hizo zinazouzwa 450k ni used Na zilizochoka na kiwa refurbished. Tatizo Bongo watumiaji ma waiza simu wengi wana elimu ndogo sana ya simu na hawataki kujifunza kwa kudhani wanajua kila kitu.
 
Lete uchambuzi wa masoko makubwa ya kimataifa sio lile Soko lenu la simu used na Mbovu pale Aggrey Kariakoo.
 
Sio bongo tu hata China soko la iPhone limeporomoka vibaya mno... Siandiki kufurahisha genge... Hali iko hivyo
 
Lete uchambuzi wa masoko makubwa ya kimataifa sio lile Soko lenu la simu used na Mbovu pale Aggrey Kariakoo.
That's hukunielewa... Angalia soko la iPhone China kama zinafanya vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…