Nakuhakikishia, ndani ya miaka 3, App Store ya Huawei itaizidi App Store ya iPhone ambayo ipo too restrictive! Huawei wakishatengeneza OS inayokubalika tu, developers accross the world wataja apps zao huko! Leo hii Android ndiyo yenye apps nyingi zaidi kuliko iOS kwa sababu, mosi hakuna restrictions to entry lakini pili, Android users ni wengi sana duniani! Sasa Am sure Huawei wakishapata OS ya uhakika, kampuni zingine za China zitahamia huko na hivyo kufanya watumiaji wa simu za OS husika kuwa wengi zaidi duniani na hatimae kuvutia developers wengi zaidi kutengeneza apps for Huawei App Store.
Nakuhakikishia, ndani ya miaka 3, App Store ya Huawei itaizidi App Store ya iPhone ambayo ipo too restrictive to entry! Huawei wakishatengeneza OS inayokubalika tu, developers across the world watajaza apps zao huko! Leo hii Play Store ndiyo yenye apps nyingi zaidi kuliko iOS App Store kwa sababu, mosi hakuna restrictions to entry lakini pili, Android users ni wengi sana duniani! Sasa Am sure Huawei wakishapata OS ya uhakika, kampuni zingine za China zitahamia huko na hivyo kufanya watumiaji wa simu za OS husika kuwa wengi zaidi duniani na hatimae kuvutia developers wengi zaidi kutengeneza apps for Huawei App Store. Kwa mtindo huu, natoa miaka 5 kabla Google hajajikuta amebaki na Samsung na Google Pixel peke yao kama main consumers wa Android!
Unajua android ni OPEN SOURCE, so HUAWEI sidhani kama watakosa wataalamu ambao watatengeneza OS itakayokuwa very flexible kwa android developers kuamia huawei na pia hio OS iweze kurun apps za android zisizotumia GOOGLEPLAY SERVIVES so developers wengi watarudi tu tena kwa lazima ili kufuata market.
Mfano ni hii OS inayotumika kwenye simu za XIAOMI,hio OS inaitwa MIUI lkn ina features zote za android na wameongeza za kwao na baadhi hazina hata hio GAPPS lkn watu bado wanarun android apps kwenye MIUI.
Nothing is impossible, mm ninachoona hapa ni google kushuka thamani kwenhe soko la hisa(Time will tell). Kiukweli google wamekosea sana kufatana na Trump
Leo mapema uko USA kampuni kubwa ya technology duniani google au unaweza kuiita alphabet,imetangaza kuacha kufanya kazi na kampuni ya kichina ya Huawei. Google wamesema simu zote za Huawei za zamani zitaendelea kupata technical support yaani android operating system,kwa muda fulani lakini...
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Leo mapema uko USA kampuni kubwa ya technology duniani google au unaweza kuiita alphabet,imetangaza kuacha kufanya kazi na kampuni ya kichina ya Huawei. Google wamesema simu zote za Huawei za zamani zitaendelea kupata technical support yaani android operating system,kwa muda fulani lakini...
daaah mkuu tafiti ya wapi hii ??? mm nipo china mwaka watatu sijarudi bongo ....wachina weng sana wanatumia iphone ...walimu wangu karibu wote wanatumia iphone ...huawei inatumika ila sio kwamba kila mtu anayo hapana bado wengi wana oppo ...Meizu ...vivo ...xiaomi na brand nyingne zinazokua lkn Apple zinatumika sna tena sana zaid ya sana hivyo naomba ufanye utafiti wa kina kabla ya kuja na uzi mkuu ... heshima yako lkn
Ukiwasikiliza watu kutokana na Google kuwafutia Leseni Huawei, wengi wao watakuambia; Simu bila Youtube; hapana aisee!!! Kwanza nina kila sababu ya kuamini talaka hii ya Google kwa Huawei ni Talaka Moja a.k.a Talaka Rejea na wala sio Talaka Tatu, a.k.a Talaka Kwenda Mwana Kwenda! Lakini hata...
daaah mkuu tafiti ya wapi hii ??? mm nipo china mwaka watatu sijarudi bongo ....wachina weng sana wanatumia iphone ...walimu wangu karibu wote wanatumia iphone ...huawei inatumika ila sio kwamba kila mtu anayo hapana bado wengi wana oppo ...Meizu ...vivo ...xiaomi na brand nyingne zinazokua lkn Apple zinatumika sna tena sana zaid ya sana hivyo naomba ufanye utafiti wa kina kabla ya kuja na uzi mkuu ... heshima yako lkn
Hukuona alichofanya mmarekani? Between China sio Tanzania ujue.. Hilo nchi ni li kubwa mno jimbo moja pekee lina watu zaidi ya million 100 yani idadi ya watanzania wote mara 2
Kuna majimbo hawajui nini kinaendelea Beijing au miji mingine mikubwa.... Walichokifanya watoa maamuzi walidili na high profilers

Kwa kuzingatia hayo yote yaliyotajwa , ningelipenda ku conclude kwa kusema kuwa. “Stori hii ina Funza”
[/QUOTE]
Mkuu, samahani, kwanza habari za siku nyingi? Sijaelewa hapo kwenye FUNZA, una maana inafundisha au funza mdudu? Please brother!
Hukuona alichofanya mmarekani? Between China sio Tanzania ujue.. Hilo nchi ni li kubwa mno jimbo moja pekee lina watu zaidi ya million 100 yani idadi ya watanzania wote mara 2
Kuna majimbo hawajui nini kinaendelea Beijing au miji mingine mikubwa.... Walichokifanya watoa maamuzi walidili na high profilers
nasafiri miji mikubwa na midogo simu zinazotumiwa na wachina zaid ni IPHONE , vivo ., Meizu , xiaomi , huawei na makampuni mengine ya china ....ndio maana nikauliza tafiti ya wapi hii? ....Beijing nimakaa , Guangzhou nimekaa plus miji midogo IPHONE bado zinatumika sanaaa sanaaaa na wachina

more info ni hv huawei kupanda juu kwa sales ni kwasababu ya vitu vifuatavyo tuwe tunaongea kwa facts
huawei kwenye process za kuexpand alipeleka bill 17 USD marekani Kwa ajili ya manunuzi ya better chip , gorilla glass na vitu vingine vidogo vidogo hii ni kuongeza ubora wa cm yake ili iweze kushindana na world market
kingine kilicho boost sales zake ni kutengeneza budget phones ambazo ni simu za kisasa kabisa muonekano mzuri performance reasonable na battery nzuri kwa bei za chini ambazo wengi wanaweza ku afford huo ndo ujanja wanaotumia wachina kuboost sales zao
sio fitina kama mtoa mada anavyodai ni akili na hard work walioiweka between 2018 - 2019 ambapo ndo data znaonesha huawei kushika nafasi yapili kwa mauzo ndio muda aliotoa series nying za HONOR na huawei model mpya ....kasi hio ya huawei ndio imepelekea samsung nae kuongeza spidi ndio maana samsung lately kaachia masimu kibao out of S series ambayo ndo main series yake ...akifuata race ya wachina ku release modern phones kwa reasonable price ndo maana umeona kuna sjui A10 ...M30 sjui M60 yapo mengii hio ni kwenda na kasi ya china market maana kwenye Top 6 ukitoa iphone na samsung wanaobaki wote ni Wachina ( VIVO , OPPO , XIAOMI , HUAWEI ) ambao mtindo wao wa kutoa cm ni wakasi sana ...wanatoa cm mpya kila kukicha hawa watu ...very good specs na bei zao za kawaida tu
saiv huawei hana jinsi zaid ya kulimaliza hilo sakata kwa sababu kama google (android ) wasipofanya nae kaz hawez rudi kirahc kwa njia zake tuseme watengeneze OS yao ambapo bado kikwazo kitakua kushindwa kufanya kaz na makampuni ya marekani kama google ,spotify ,facebook ,instagram ,netflix ambavyo ukivitoa hivyo huna tena reason ya kuwa kwenye soko la dunia ...kingine wachina wanatengeneza chip zao lkn sio bora kama walizotumia kwenye p30 ambazo ni za mmarekani
yan reasons ni nying sana mtu hawez toa thousands of dollars kwa device isioweza ku update syastem au kwa device isio na android ...ni mziki mkubwa sana
sema akifanikiwa kupenya na huu mkasa wote akarud kwa njia zake bas NO ONE WILL EVER BEAT CHINESE kwa lolote ....japo naskia nao wamevimba coz almost 70% ya material inayotumiwa kutengenezea batteries za alot of gadgets na vitu vingine including batteries za Tesla ...hio material inatoka china na Tesla ni bill dollar company so sjui itacheza vp but vita kama hz zinaumiza secta nying mpaka consumers ...they better solve them
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.