Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
saiv huawei hana jinsi zaid ya kulimaliza hilo sakata kwa sababu kama google (android ) wasipofanya nae kaz hawez rudi kirahc kwa njia zake tuseme watengeneze OS yao ambapo bado kikwazo kitakua kushindwa kufanya kaz na makampuni ya marekani kama google ,spotify ,facebook ,instagram ,netflix ambavyo ukivitoa hivyo huna tena reason ya kuwa kwenye soko la dunia ...kingine wachina wanatengeneza chip zao lkn sio bora kama walizotumia kwenye p30 ambazo ni za mmarekani
yan reasons ni nying sana mtu hawez toa thousands of dollars kwa device isioweza ku update syastem au kwa device isio na android ...ni mziki mkubwa sana
sema akifanikiwa kupenya na huu mkasa wote akarud kwa njia zake bas NO ONE WILL EVER BEAT CHINESE kwa lolote ....japo naskia nao wamevimba coz almost 70% ya material inayotumiwa kutengenezea batteries za alot of gadgets na vitu vingine including batteries za Tesla ...hio material inatoka china na Tesla ni bill dollar company so sjui itacheza vp but vita kama hz zinaumiza secta nying mpaka consumers ...they better solve them
Naona ulizoom haya mambo tangia Dec.Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
*uptodates*
Google yatangaza kuacha kufanya kazi na Kampuni ya Simu ya Huawei! Yasema imefuata amri ya USA
Leo mapema uko USA kampuni kubwa ya technology duniani google au unaweza kuiita alphabet,imetangaza kuacha kufanya kazi na kampuni ya kichina ya Huawei. Google wamesema simu zote za Huawei za zamani zitaendelea kupata technical support yaani android operating system,kwa muda fulani lakini...www.jamiiforums.com
hahaha nipo na ki xiaomi changu hapa nawachungulia tuu huku nimekenua menoUnajua android ni OPEN SOURCE, so HUAWEI sidhani kama watakosa wataalamu ambao watatengeneza OS itakayokuwa very flexible kwa android developers kuamia huawei na pia hio OS iweze kurun apps za android zisizotumia GOOGLEPLAY SERVIVES so developers wengi watarudi tu tena kwa lazima ili kufuata market.
Mfano ni hii OS inayotumika kwenye simu za XIAOMI,hio OS inaitwa MIUI lkn ina features zote za android na wameongeza za kwao na baadhi hazina hata hio GAPPS lkn watu bado wanarun android apps kwenye MIUI.
Nothing is impossible, mm ninachoona hapa ni google kushuka thamani kwenhe soko la hisa(Time will tell). Kiukweli google wamekosea sana kufatana na Trump
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
*uptodates*
Google yatangaza kuacha kufanya kazi na Kampuni ya Simu ya Huawei! Yasema imefuata amri ya USA
Leo mapema uko USA kampuni kubwa ya technology duniani google au unaweza kuiita alphabet,imetangaza kuacha kufanya kazi na kampuni ya kichina ya Huawei. Google wamesema simu zote za Huawei za zamani zitaendelea kupata technical support yaani android operating system,kwa muda fulani lakini...www.jamiiforums.com
Ndio mkuu!Mwingine?
Hhahahjkyakya kyah kyha!Naogopa gari jeupe [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Wamarekani ni Maadui werevu!Halafu halina usajili, halafu linakimbia kama gari la mashindano
Wameshaifunika kwa takwimu za robo mwaka huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huawei wamekuja juu sana, soon wataifunika iPhone
Tujipe muda, ubishi sitaki
Kisasi cha marekani cha kumnyima Android na chip za Intel kinawatosha wachina...