Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.saiv huawei hana jinsi zaid ya kulimaliza hilo sakata kwa sababu kama google (android ) wasipofanya nae kaz hawez rudi kirahc kwa njia zake tuseme watengeneze OS yao ambapo bado kikwazo kitakua kushindwa kufanya kaz na makampuni ya marekani kama google ,spotify ,facebook ,instagram ,netflix ambavyo ukivitoa hivyo huna tena reason ya kuwa kwenye soko la dunia ...kingine wachina wanatengeneza chip zao lkn sio bora kama walizotumia kwenye p30 ambazo ni za mmarekani
yan reasons ni nying sana mtu hawez toa thousands of dollars kwa device isioweza ku update syastem au kwa device isio na android ...ni mziki mkubwa sana
sema akifanikiwa kupenya na huu mkasa wote akarud kwa njia zake bas NO ONE WILL EVER BEAT CHINESE kwa lolote ....japo naskia nao wamevimba coz almost 70% ya material inayotumiwa kutengenezea batteries za alot of gadgets na vitu vingine including batteries za Tesla ...hio material inatoka china na Tesla ni bill dollar company so sjui itacheza vp but vita kama hz zinaumiza secta nying mpaka consumers ...they better solve them
Matusi ya nini mkuu afadhali wewe siyo mshamba huyo mchina ajawai kuwa juu ya I phone ata siku moja alikuwa chini na hapa amezikwa rasmiWe ushamba unakusumbua tu. Mbona xiamo versions za kwanza zilikua hazina GAPPS(hio full package ya apps za google) na bado zikauzika tu na zinauzika. Youtube mtu anaweza kuipata kama web, na kuna alternatives nyng mno. Af kumbuka china ina population kubwa sana na hata wakisema wazinunue wao tu na wachache wanaoelewa kutoka sehemu nyngne bado wataongoza soko tu.
Af kwa mtu mwenye maono ya mbali ataona hapa google wamefanya kosa coz kama hawa jamaa wakiamua kuinvest na kutengeneza alternative ya android basi google watapata pressure sana coz ktk tech hakuna kinachoshindikana tena mbele ya mchina
Mwenye huawei amekiri hadharani kuwa wanaiga "tunda" sasa tunda na aifoni zinakufaje kwa mfano?Apple ijiandae kuzikwa na ni dalili mbaya kwa Samusng
Habari tena ndugu zangu, Hapo majuzi tumeshuhudia vita za kiuchumi zinazoendela zidi ya mataifa yenye misuli zaidi. Huku Huawei wakionekana kama walipigwa kombora la kutosha kwa kuweza kushindwa kufanya kazi na google jambo la kushangaza ni kwamba siku mbili hizi zilizopita wameweza kutangaza...www.jamiiforums.com
Mmh labda System charge na chaja vikifa[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Mwenye huawei amekiri hadharani kuwa wanaiga "tunda" sasa tunda na aifoni zinakufaje kwa mfano?
Nasubiri mpambano huu wa U.S.A na CHINA nani ataibuka mshindi.
Baada ya Jobs kulaza mshale walobaki wamezingua.Maandalizi ya kwenda huawei? View attachment 1142104
Watu tulishalifahamu hili mapema....Trump hana tofauti sana na Meko wetu!Hatimaye kampuni ya Huawei kuruhusiwa kuendelea kununua teknolojia kutoka Marekani
https://edition.cnn.com/politics/live-news/g20-june-2019-intl-hnk/h_6f86ba7a80e65af7ce7ab2984e5058c7 Kutoka G20 Summit inayoendelea huko Osaka, Japani, Rais wa Marekani Donald trump amesema ataruhusu kampuni ya huawei kuendelea kununua teknolojia kutoka Marekani kama ilivyokuwa hapo mwanzo...www.jamiiforums.com
Sidhani kama angefanya hivyo since ktk hiyo kampuni atakayo fungua Apple bado angekuwa mteja namba moja..Maandalizi ya kwenda huawei? View attachment 1142104
Huyu mdudu anapatikana maeneo ya pwani ya uajemi... ukimkanyaga mguu lazima uvimbe🤓🤓samngis nazo si za china?