Simba 1Ngapi ngapi huko?
Yaani Utopolo mada zenu za uchochezi tuu!!! Uchonganishi, mada za kichawichawi ili kuwagombanisha wachezaji na makocha na hata viongozi.Sasa ni wakati wako kumfata rafiki yako Ibrah Ajib maana kwa sasa ni dhahiri shahiri huna tena nafasi ndani ya kuanza ama kucheza mbele ya mzamiru Yassin na Sadio kanout maana imeonyesha dhahiri kabisa kwamba makocha wote wawili hawakuamini na sasa nafasi yako ameichukua Mzamiru na kanout pole lakini
Ndo mchezo wa mpira ulivyo na pia kudra haijawahi kuishinda jitihada
Atazeekea simbaAaah wapi ndo basi tena ishatoka iyo mzee huamini?
Wenzako wote wanaombea hiyo tarehe 23 isifike! Halafu wewe unakuja kujitutumua humu jukwaani!Yanga jiandaeni kwa kipigo kitakatifu trh 23. Ntakua nawakumbusha kwny kila uzi
Jumapili tunawakeketa mchana kweupeeeWenzako wote wanaombea hiyo tarehe 23 isifike! Halafu wewe unakuja kujitutumua humu jukwaani!
Aisee pole yako.
Hamchelewi nyinyi kusingizia kurogwa, na pia GSM kuwahonga wachezaji wenu.Jumapili tunawakeketa mchana kweupeee
Nani anaiombea isifike huyo hajielewi. Kwa Yanga ipi imtishe mnyama? Labda kama mna njia zingine za kuifunga ila kwa fair play dkk 90 maji mtayaita mmmaa. Yanga hakuna kitu paleWenzako wote wanaombea hiyo tarehe 23 isifike! Halafu wewe unakuja kujitutumua humu jukwaani!
Aisee pole yako.