Bye bye kiungo mkabaji Jonas Mkude

Bye bye kiungo mkabaji Jonas Mkude

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,251
Sasa ni wakati wako kumfata rafiki yako Ibrah Ajib maana kwa sasa ni dhahiri shahiri huna tena nafasi ndani ya kuanza ama kucheza mbele ya Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute maana imeonyesha dhahiri kabisa kwamba makocha wote wawili hawakuamini.

Ndo mchezo wa mpira ulivyo na pia kudra haijawahi kuishinda jitihada
 
Sasa ni wakati wako kumfata rafiki yako Ibrah Ajib maana kwa sasa ni dhahiri shahiri huna tena nafasi ndani ya kuanza ama kucheza mbele ya mzamiru Yassin na Sadio kanout maana imeonyesha dhahiri kabisa kwamba makocha wote wawili hawakuamini na sasa nafasi yako ameichukua Mzamiru na kanout pole lakini

Ndo mchezo wa mpira ulivyo na pia kudra haijawahi kuishinda jitihada
Yaani Utopolo mada zenu za uchochezi tuu!!! Uchonganishi, mada za kichawichawi ili kuwagombanisha wachezaji na makocha na hata viongozi.
 
Mechi moja tu utakuja kumkumbuka jonas mkude yule hajaitwa nungu nungu kwa bahati mbaya
 
Yanga jiandaeni kwa kipigo kitakatifu trh 23. Ntakua nawakumbusha kwny kila uzi
 
Hahahaaa walikuwepo watu pia kabla yake. Okwi, mafisango, chuji mpira ni mchezo wa wazi
 
Kati ya senior player aliowashukuru JM jana mkude nae akiwemo
Tatizo analysis zenu zimekaa kihisia sana
 
Yanga jiandaeni kwa kipigo kitakatifu trh 23. Ntakua nawakumbusha kwny kila uzi
Wenzako wote wanaombea hiyo tarehe 23 isifike! Halafu wewe unakuja kujitutumua humu jukwaani!

Aisee pole yako.
 
Wenzako wote wanaombea hiyo tarehe 23 isifike! Halafu wewe unakuja kujitutumua humu jukwaani!

Aisee pole yako.
Nani anaiombea isifike huyo hajielewi. Kwa Yanga ipi imtishe mnyama? Labda kama mna njia zingine za kuifunga ila kwa fair play dkk 90 maji mtayaita mmmaa. Yanga hakuna kitu pale
Pole nakupa ww uliekariri
Trh 23 nasisitiza Simba anawafumua mshono
 
Back
Top Bottom