Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

nnawaaga my fellow memberz kesho 2nasafir mi na wazaz wngu na wadogo zangu 2nahama tanzania. wazaz wangu wanaamishia makaz canada kikaz. ntamaliza my secondary ed & uni uko uko mungu akpenda. cna uhakika km ntarud tena tanzania. ntawamiss sna. luv u all

Go east go west home is best....!!!
 
Sababu una uraia wa Tanzania. Utarudi tu wangapi wameenda huko na wakarudi.
Kumbe hata secondary hujamaliza, basi ndo maana ulikuwa na thread za ajabu ajabu.
Ila hapa Utarudi tu.
Na kitu kingine ni kuwa siamini maana kwa ulivyo mbea lazima unhetwambia kipindi wafanya process za visa

labda wazaz wngu warud tena tanzania nkiwa bado nasoma ndo ntarud. km nkianza kujtegemea crud upes mpk nwe na hela nyng.
 
Mdogo wangu, hivi unadhani kutoka kimaisha huko juu ji rahisi kihivyo?
Watu wanakimbilia huku.
Na kingine Visa yako ikiisha muda ndo unarudi huku na utakaa huku milele.
Afu pia wazungu watakurudisha maana hujui kuandika vizuri
 
nnawaaga my fellow memberz kesho 2nasafir mi na wazaz wngu na wadogo zangu 2nahama tanzania. wazaz wangu wanaamishia makaz canada kikaz. ntamaliza my secondary ed & uni uko uko mungu akpenda. cna uhakika km ntarud tena tanzania. ntawamiss sna. luv u all
unatuaga unatufahamu?
 
dogo watu tumesafiri nchi zaidi ya kumi na hatujinadi sasa wewe utoto unakusumbua mpaka unatoa mada yakipuuzi
 
nnawaaga my fellow memberz kesho 2nasafir mi na wazaz wngu na wadogo zangu 2nahama tanzania. wazaz wangu wanaamishia makaz canada kikaz. ntamaliza my secondary ed & uni uko uko mungu akpenda. cna uhakika km ntarud tena tanzania. ntawamiss sna. luv u all

Utarudi ukiwa marehemu kukuzika.
 
We unatupenda unatujua? Eti 'love you all'

And by the way, safari njema.
 
Sababu una uraia wa Tanzania. Utarudi tu wangapi wameenda huko na wakarudi.
Kumbe hata secondary hujamaliza, basi ndo maana ulikuwa na thread za ajabu ajabu.
Ila hapa Utarudi tu.
Na kitu kingine ni kuwa siamini maana kwa ulivyo mbea lazima unhetwambia kipindi wafanya process za visa

hahahahaha
 
Back
Top Bottom