nnawaaga my fellow memberz kesho 2nasafir mi na wazaz wngu na wadogo zangu 2nahama tanzania. wazaz wangu wanaamishia makaz canada kikaz. ntamaliza my secondary ed & uni uko uko mungu akpenda. cna uhakika km ntarud tena tanzania. ntawamiss sna. luv u all
Sababu una uraia wa Tanzania. Utarudi tu wangapi wameenda huko na wakarudi.
Kumbe hata secondary hujamaliza, basi ndo maana ulikuwa na thread za ajabu ajabu.
Ila hapa Utarudi tu.
Na kitu kingine ni kuwa siamini maana kwa ulivyo mbea lazima unhetwambia kipindi wafanya process za visa
labda wazaz wngu warud tena tanzania nkiwa bado nasoma ndo ntarud. km nkianza kujtegemea crud upes mpk nwe na hela nyng.
unatuaga unatufahamu?nnawaaga my fellow memberz kesho 2nasafir mi na wazaz wngu na wadogo zangu 2nahama tanzania. wazaz wangu wanaamishia makaz canada kikaz. ntamaliza my secondary ed & uni uko uko mungu akpenda. cna uhakika km ntarud tena tanzania. ntawamiss sna. luv u all
Yap..ila ukisha zichanga + exposure & experience rudi Tz. Ur still young hutojutia. Unless unataka urudi nguvu zimekuisha na box la perfume sijui vi laptop etc.
Mwezini nimetoka juzi kati.........leo nipo Mars...........
cjui km uko kuna forum. km ikiwepo ntakuwa naingia ya uko.
Swaumu kobe wewe.
Mars ndio Maromboso?????haaaa haaaa haaaa!salama lakini mtu wangu wa nguvu?Mimi nipo Mars na ninaipata Jf.........nini Canada bana.............
Utatumiss kwani unatujua?
nnawaaga my fellow memberz kesho 2nasafir mi na wazaz wngu na wadogo zangu 2nahama tanzania. wazaz wangu wanaamishia makaz canada kikaz. ntamaliza my secondary ed & uni uko uko mungu akpenda. cna uhakika km ntarud tena tanzania. ntawamiss sna. luv u all
Sababu una uraia wa Tanzania. Utarudi tu wangapi wameenda huko na wakarudi.
Kumbe hata secondary hujamaliza, basi ndo maana ulikuwa na thread za ajabu ajabu.
Ila hapa Utarudi tu.
Na kitu kingine ni kuwa siamini maana kwa ulivyo mbea lazima unhetwambia kipindi wafanya process za visa
Hi hi........nipo poa wangu........nakula mema ya nchi taratibu..............
Na yule mzee aliyehama na familia kutoka Bukoba kwa gari kupitia Uganda Kenya hadi Dar. Kitabu cha English.