Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university huko huko Mungu akipenda. Sina uhakika kama nitarudi tena Tanzania.

Nitawamiss sana, Luv u all
Lakini JF linasomeka po pote ulimwenguni (pamoja na Canada unakohamia). Hivyo kama una nia ya kuendelea kuwa mwanachama wa JF kuondoka TZ siyo kikwazo kwa wewe kuwa mwanachama.
 
Hebu tuambie kama bado hujarudi Tanzania mpaka sasa.
 
Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university huko huko Mungu akipenda. Sina uhakika kama nitarudi tena Tanzania.

Nitawamiss sana, Luv u all
Koo utahama adi jf..! Cjakupataa apoo
 
Ukiingia JF kutoka ni kazi labuda kama umekufa au cm imeibiwa au ikizimwa mwezi wa 6
 
Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university huko huko Mungu akipenda. Sina uhakika kama nitarudi tena Tanzania.

Nitawamiss sana, Luv u all
HONGERA MKUU
 
Umenikumbusha kitabu cha "Kusoma" cha darasa la pili enzi hizo elim ni elimu katika kichwa chwa habari kilichosomeka "KUHAMA" tulikuwa tunasimamishwa mmmoja mmoja kusima. Kilianza hivi:

"Kuhama. Mimi na Baba yangu, na Mama yangu, na wadogo zangu na dada yatu tulihama.

Mimi na Baba yangu tulikaa nyuma. (ya roli la mchanga) Mama na dada na wadogo zangu walikaa mbele.

Tuliona miti na milima ikikimbia kurudi nyuma!...."

Wazee wenzangu watakumbuka!
umesahau kumalizia,mpaka jioni tulifika chalinze
 
Back
Top Bottom