Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"pureView Zeiss- haahahhhhh hatuna ujanja mkuu wakiyatengeneza itabidi-si unaona walivyoondoa gari manual-watatufanya hivyo hivyo.Wabongo tunaipenda maisha ya kufikirika kwelikweli hiyo technology ya Magari ya Umeme sio ya kuja leo..
Bei za Magari ya Umeme ni ghali Sana ukilinganisha na petroleum pia Kwa nchi zetu hizi za dunia ya tatu yatakuja Ila baada ya miaka 10-15.
Kumbuka kipindi automatic transmission imeanza watu wengi walifikiri manual transmission ingekufa lakin Hadi leo gari za manual ziko juu kuanzia thamani ya pesa,uimara,ufundi wake na performance