BYE BYE PETROL CARS WELCOME BACK ELECTRICAL CARS

Henry Ford alipokuja na mpango wa mass production ya Model T akashusha bei ya magari ya mafuta na hivyo kuua soko la magari ya umeme.
 
Wabongo tunaipenda maisha ya kufikirika kwelikweli hiyo technology ya Magari ya Umeme sio ya kuja leo..
Bei za Magari ya Umeme ni ghali Sana ukilinganisha na petroleum pia Kwa nchi zetu hizi za dunia ya tatu yatakuja Ila baada ya miaka 10-15.
Kumbuka kipindi automatic transmission imeanza watu wengi walifikiri manual transmission ingekufa lakin Hadi leo gari za manual ziko juu kuanzia thamani ya pesa,uimara,ufundi wake na performance
 
"pureView Zeiss- haahahhhhh hatuna ujanja mkuu wakiyatengeneza itabidi-si unaona walivyoondoa gari manual-watatufanya hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom