Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web .
Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye kompyuta: Simu β Messages β Device Pairing β Scan QR Code β Scan QR kwenye PC sasa mambo yamebadilika bhana.
Badala yake, Google inaelekeza watu Kuanza kutumia Google Account kufanya pairing ya Messages kati ya simu na kompyuta. π»π²
Mabadiliko haya yanaanza kusambazwa hatua kwa hatuaβkwa hiyo usishangae kama QR Code bado ipo kwenye simu yako. π
Unaionaje mabadiliko haya tuachie maoni yako π
#bongotech255