Bye bye Serengeti bia

Bye bye Serengeti bia

Yaani sticker ni mbaya sana ..sijui walifanya upembuzi kwa akaina nani kuona hiyo sticker inafaa .Bia imepoteza hadhi kimwonekano kabisa Yaani Bora mtu upige castle lite aiseee
 
Aisee hii bia ya Serengeti nilikuwa naipenda sana lakini Kwa Sasa Wacha niipe talaka tatu wamekuja na sticker la hovyo kabisa rangi mbaya sana utafikiri ya chama kile chakavu mtakosa mapato msiporudisha sticker ya zamani kiwanda chenu kinaenda kufa kifo Cha Mende
Rangi nzuri sana, rangi ya KIBINGWA!
 
Sijaipenda kabisa hii bia, nilikua mpenzi wa senge lagaer ndogo ile nyeusi ila wameleta midudu ya ajabu ajabu sana.
 
Serengeti wamekopi kwa yanga
images (26).jpeg
 
Ukipenda ua, penda na boga lake. Read & vote if you are will be interested

 
Hii bia wajinga wameleta sticker ya kijinga sana, japo sio bia yangu ila siwezi kukaa na mtu anayekunywa hili Serengeti la njano
Huo ni ushauri wa shabiki wa chura Wasakatonge Sports club baada ya kupata kombe la kunywea komoni kaona haitoshi sasa aje awakere watu kwa beer!
Shabhash!
 
Back
Top Bottom