mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
- Thread starter
- #41
Kweli Mara mia chibukukunywa chibuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mara mia chibukukunywa chibuku
Kwa mwanamke ubora sura au....Ila walevi!!! Kwahiyo hapo shida ni ubora wa bia au logo?
Yaani logo mbayaHii bia wajinga wameleta sticker ya kijinga sana, japo sio bia yangu ila siwezi kukaa na mtu anayekunywa hili Serengeti la njano
Huyo sio mnywaji. Wanywaji huwa hatudeal na logo. Tunadeal na content/kileviIla walevi!!! Kwahiyo hapo shida ni ubora wa bia au logo?
Shida inaanzia kwenye logo mpka ubora wake ladha naona imebadilika Kabisa ukiongeza na logo la njano dahIla walevi!!! Kwahiyo hapo shida ni ubora wa bia au logo?
Yaani ukichafua Kwa rangi hii inaonekana Kama mkutano wa chama fulani hivi hata hamu ya kunywa inaishaZile nyingine hata mkichafua meza ilikuwa inaonekana, sio uchafu huu.
SanaZinatishaaaa!
100%Kuna akina sisi hatutaki chochote chenye uhusiano na ccm, ikiwa ni pamoja na rangi, nyimbo, kadi, bidhaa n. K. Huyo jamaa yuko sahihi kabisa
Ishu sio Simba Wala Yanga shida logo mbaya sana na Hilo rangi lake hovyo kabisa amini ninachokuambia watapoteza sana mapato sijui nani aliwashauri hiiUnashabikia Simba nini?😁😁 Ila kimsingi halijakaa vizuri kabisaa
Yah ni kweli kwasababu biashara vitu kama hivyo ni muhimu kuzingatiwa.Ishu sio Simba Wala Yanga shida logo mbaya sana na Hilo rangi lake hovyo kabisa amini ninachokuambia watapoteza sana mapato sijui nani aliwashauri hii