"Bye Daddy"...... Dah!!!

"Bye Daddy"...... Dah!!!

Anakupenda kwasababu unampenda.

Watoto wa kiume hua walaini kwa mama zao, na wa kike kwa baba zao. Ni ile attention ya 'different sex'. . .

ndio maana kuna yule mama aliamua kuzaa na mwanaye wa kiume kwa baada ya kumpenda beyond mapenz ya mama na mwana
 
Shikamoo babu..... ila dah! namuonea huruma bibi
 
Oh' "The ONE" Is perfect for me.... but that does not once in a while stop me from missing my Dad, He was a wonderful Man.

am pretty sure "the one" rocks! nikirejea mabandiko ya humu, wanasema girls tends to marry their "father-like" attituded husbands. probably u r missing the "bye daddy"s
 
Kusema ukweli hii mada imenifanya nitoe mchozi.mimi sijawahi kuwa karibu na baba yangu wala mama.mimi ni mtoto wa kike peke yangu kwenye wa kiume wawili baba yangu alionyesha tofauti sana kati anavyonitreat mimi na hao kaka zangu hata shule nilizopelekwa ni the best schools na vitu kama hivyo. Ila duuuh baba haingiliki,baba alikuwa haongei mpaka anywe pombe,siku ukimuona bwii basi story haziishi,baba ni mnuno hata kama una shida unahesabu mpaka kumi na kurudia ndo umwambie shida yako. Ama kweli nimekua kwenye mazingira hayo utoto wangu wote na mama ndo weee usiseme ndo mkali balaa huwezi kuongea nae ilifikia mpaka naongea na shangazi zangu ndo wamwambie mama au baba shida zangu. Jamani wenye wazazi walio karibu nao nawaombeni muwapende muwajali mana si wazazi wote wako hivyo. Saa nyingine ikafikia baba yuko sitting room watoto tunakaa jikoni. Au tqwanong'onezana ,loo sitaki kukumbuka mie. Ila namshukuru Mungu kwa kuwa nimejifunza kitu,naomba anijalie niwe mzazi mwenye ukaribu na watoto na pia anijalie nipate mume mwenye ukaribu na watoto. Natumai sijachakachua sredi hii. Namiss sana mapenzi ya wazazi kwa kweli. Ukubwani ndo wanakutolea macho wakati mimi sina habari nao.
 
kwa kweli na-deserve hiyo sorry........... I am so gender sensitive!
ni mke na mama wa watoto 3, hako kawifi ka Matesha tunakogombania DAD, mume mtarajiwa wa Matesha (ha haaaaaaaaaaaa, baba Matesha, nadhani deal bado lipo intact) na shem wa Matesha

FP, that word speaks volumes, waweza tutoa machozi watu sasa hv! profile yako kwa babu imetulia aisee!
 
Alafu Uncle sijamuona siku nyingi. Weekend nzima nimekaa hapa kwake yeye simuoni. Au sababu nalala mapema?

Hapana, alisafiri kidogo dear.... Leo aweza ingia, maybe utamuona na akija tu najua atataka chai yako.....lol

Maneno haya ulishawahi kumwambia? Navyopenda misifa, nikiambiwa maneno hayo napasuka wallah!

Nilisha wahi muambia.... My last vest time with him ilikua three days before kifo chake, tuliongea for 8 straight hours, hizo ni some of the best moments in my Life....
 
am pretty sure "the one" rocks! nikirejea mabandiko ya humu, wanasema girls tends to marry their "father-like" attituded husbands. probably u r missing the "bye daddy"s

Ile tu umemtaja, imebidi ninyanyue simu yake walau nisikie sauti roho itulie.... How wonderful it is to be in Love jamani... Dah!
 
Hapana, alisafiri kidogo dear.... Leo aweza ingia, maybe utamuona na akija tu najua atataka chai yako.....lol
Basi ndio maana... haya, akija tu nistue, mi narudi jikoni.
Umeona BAbu anavyo kataa kunijibu? sijui nimemfanya nini mie.
 
FP, that word speaks volumes, waweza tutoa machozi watu sasa hv! profile yako kwa babu imetulia aisee!
Najua mkuu, lakini sikuwa na jinsi, sikuwa na any other word ku-replace. hata mimi nimeumia sana wakati naliangalia, lakini siyo vibaya tukamkumbuka MPENDWA wetu once in a while.
 
Kusema ukweli hii mada imenifanya nitoe mchozi.mimi sijawahi kuwa karibu na baba yangu wala mama.mimi ni mtoto wa kike peke yangu kwenye wa kiume wawili baba yangu alionyesha tofauti sana kati anavyonitreat mimi na hao kaka zangu hata shule nilizopelekwa ni the best schools na vitu kama hivyo. Ila duuuh baba haingiliki,baba alikuwa haongei mpaka anywe pombe,siku ukimuona bwii basi story haziishi,baba ni mnuno hata kama una shida unahesabu mpaka kumi na kurudia ndo umwambie shida yako. Ama kweli nimekua kwenye mazingira hayo utoto wangu wote na mama ndo weee usiseme ndo mkali balaa huwezi kuongea nae ilifikia mpaka naongea na shangazi zangu ndo wamwambie mama au baba shida zangu. Jamani wenye wazazi walio karibu nao nawaombeni muwapende muwajali mana si wazazi wote wako hivyo. Saa nyingine ikafikia baba yuko sitting room watoto tunakaa jikoni. Au tqwanong'onezana ,loo sitaki kukumbuka mie. Ila namshukuru Mungu kwa kuwa nimejifunza kitu,naomba anijalie niwe mzazi mwenye ukaribu na watoto na pia anijalie nipate mume mwenye ukaribu na watoto. Natumai sijachakachua sredi hii. Namiss sana mapenzi ya wazazi kwa kweli. Ukubwani ndo wanakutolea macho wakati mimi sina habari nao.

Your Dad was a good man and a good dad, naona tu ndio wale wazee ambao wanaona kama kua mkali aku serious ndio kua a good dad, Hilo la kusema kua wewe ulipelekwa shule nzuri kuliko kaka zako It says Loads, he wanted the best for you kuliko hata kwa kaka zako... Na I bet ni mambo meengi mengine ambayo alikua akikupendelea....
 
Back
Top Bottom