Bye JF

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
4,950
Reaction score
10,977
To cut the long story short akili yangu inaniambia rudi kucheza mzawa kwa huku kijijini nilipo.

Na uchazaji wangu wa uzawa unanibadili fikra na personality kabisa.

Mengine mtanisikia, baada ya kujutafakari nimekubali mipango yangu hipo huku kijijini.

Tanzania willl forever be in my heart.

Take it or leave it this my last JF post,

It’s been a ride wishing all members best of lack

Niilikuwepi

Proffesor Kibassa

πŸ™πŸ™πŸ™

PS do not imitate me mods

It has been a wonderful ride, but it has to end.
 
Bon voyage dude! We will miss you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bon voyage dude! We will miss you

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kaka, mungu aendelee kukubariki
na uungwana wako, kipawa chako cha kukubarika na pist zako hata kama sio wote wachangiaji.

I love food so japo sijawahi kuchangia kwenye jukwaa la chakula, ilikuwa aipiti siku mbili bila ya kuchungulia watu wame post nini kule.

Ubarikiwe sana kaka
 
Inamaana tutaendelea kua nae ila kwa njia nyingine?
No nikilala nikiamka sitofungua tena JF maisha yanataka commitment zingine.

Nimekubali vita yangu ipo kijijini, pamoja na kupenda siasa za Tanzania ni muda wa kukuwa.
πŸ€£πŸ˜‚
Bon Voyage brother mbona sisi tupo kijijini na JF tupo wewe umekuja one's unaona kama adhabu...ok life goes on
πŸ™ˆ
JF ni nyama ya mtu, addiction yaΔ·e mbaya sana
 
kwa sie tusioelewa lugha una maana gani? usijiue bwana
 
@mayor_quimby
@kilatha
JUMA contena
Eric Cartman
HandsomeBoy
Zinjathropus

Na ID nyingine nilizo sahau

Been a journey

πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹

Niombe radhi kwa yeyote ambae sito jibu post yake baada ya hii.

Enjoyed every moment ya JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…