Bye JF

Bye JF

Asante kaka, mungu aendelee kukubariki
na uungwana wako, kipawa chako cha kukubarika na pist zako hata kama sio wote wachangiaji.

I love food so japo sijawahi kuchangia kwenye jukwaa la chakula, ilikuwa aipiti siku mbili bila ya kuchungulia watu wame post nini kule.

Ubarikiwe sana kaka
[emoji173][emoji1545][emoji173][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafakuri kuna maisha nje ya Jamii Forums na nadharia za watu kwa kukusoma JF.

Muda wa kuweka mambo sawa kwenye maisha sikuwa huko kwa karibu miaka 20 kuwaweka sawa wajinga wajinga.

Thanks mods, kwa kuileta post huku mnapodhani ni mahala sahihi.

Nisingependa kuona waliochangia waone nimewapuuza (it’s a psychological issue). Hope no one adds a comment as the message is clear and they allow this useless member leave in natural death manner.

PS do not imitate my ID’s just because you know how to do it, JF has done that several times in the past in my absence hadi kufungua ID walizozipa ban.
 
Can’t see the emoji but whatever comes from you is always appreciated.

Me too I am sort of mind reader kwako kaka to me, after many years of being in JF even if you try to be nasty it’s because of community influence.

Hila kaka Mshana Jr even if you try to be nasty wewe roho yako ni pure; mengine ni mkumbo kufuata tu wa forum.
 
To cut the long story short akili yangu inaniambia rudi kucheza mzawa kwa huku kijijini nilipo.

Na uchazaji wangu wa uzawa unanibadili fikra na personality kabisa.

Mengine mtanisikia, baada ya kujutafakari nimekubali mipango yangu hipo huku kijijini.

Tanzania willl forever be in my heart.

Take it or leave it this my last JF post,

It’s been a ride wishing all members best of lack

Niilikuwepi

Proffesor Kibassa

🙏🙏🙏

PS do not imitate me mods

It has been a wonderful ride, but it has to end.
JF imeacha milango wazi, ukirudi ruksa kuingia.
 
Too early to give up....

I always believe life always give a 'second' choice/way/chance.
Responbility calls na kuelewa in the world where we have limited time nguvu zako uzielekeze wapi.

I think I have given kwenye forum nothing willl add value anymore.
 
Asante kitakacho nirudisha ni heshima tu wa wachangiaji mada hii as long watu watachangia.

Hii mada ikipotea na mimi napotea.

Ubarikiwe kiongozi
Endelea kusalia jamvini kiongozi, hili jukwaa linaweza kuwa sehemu ya faraja kwako.

hata kama changamoto ngumu zinakusibu tambua ni za muda tu.

Nothing last permanently....
 
Tafakuri kuna maisha nje ya Jamii Forums na nadharia za watu kwa kukusoma JF.

Muda wa kuweka mambo sawa kwenye maisha sikuwa huko kwa karibu miaka 20 kuwaweka sawa wajinga wajinga.

Thanks mods, kwa kuileta post huku mnapodhani ni mahala sahihi.

Nisingependa kuona waliochangia waone nimewapuuza (it’s a psychological issue). Hope no one adds a comment as the message is clear and they allow this useless member leave in natural death manner.

PS do not imitate my ID’s just because you know how to do it, JF has done that several times in the past in my absence hadi kufungua ID walizozipa ban.
Sote njia yetu ni moja mkuu, either tuache kutumia jf kama wewe hivi au nature itulazimishe kuacha. Kila la heri..hata mimi ipo siku nitaiweka pembeni kwa mapenzi yangu.
 
Tafakuri kuna maisha nje ya Jamii Forums na nadharia za watu kwa kukusoma JF.

Muda wa kuweka mambo sawa kwenye maisha sikuwa huko kwa karibu miaka 20 kuwaweka sawa wajinga wajinga.

Thanks mods, kwa kuileta post huku mnapodhani ni mahala sahihi.

Nisingependa kuona waliochangia waone nimewapuuza (it’s a psychological issue). Hope no one adds a comment as the message is clear and they allow this useless member leave in natural death manner.

PS do not imitate my ID’s just because you know how to do it, JF has done that several times in the past in my absence hadi kufungua ID walizozipa ban.
If so, you would have left in silence. To inform no one except those you're really committed with, through PM.

Kupost hapa, kunakulazimisha ama uende bila kujibu (of which you don't have to care) ama uendelee kubaki.

Anyway, Good luck Mkuu.
Be back, share what you will have gone, ili wengine wajifunze..

Kutofanya hivyo, ni kuwa mchoyo.
 
Endelea kusalia jamvini kiongozi, hili jukwaa linaweza kuwa sehemu ya faraja kwako.

hata kama changamoto ngumu zinakusibu tambua ni za muda tu.

Nothing last permanently....
Changamoto zipo

Hila kwa upande wangu mungu amekuwa mwema sema ubishi wangu tu,

Muda sasa wa kutumia fursa mungu anazonipa kabla ajanichoka.

Kwakweli pamoja na majaribio mengi ya maisha kwa mapitio yangu mpaka nilipo hata kama nilikuwa siamini mungu inabidi ukubali yupo.

Kwa hivyo kaka usijali haya ni maamuzi yangu labda na maelekezo ya mungu JF inatosha.

Wish ningekuelezea anavyonilinda huyu mungu (at times I feel spoiled by him).
 
If so, you would have left in silence. To inform no one except those you're really committed with, through PM.

Kupost hapa, kunakulazimisha ama uende bila kujibu (of which you don't to care) ama uendelee kubaki.

Anyway, Good luck Mkuu.
Be back, share what you will have gone, ili wengine wajifunze..

Kutofanya hivyo, ni kuwa mchoyo.
JF inasomwa na watu wengi sana.

Inategemea Unachangia nini kuona wazo lako linetumika wapi na watu wakubwa.
 
Off to bed and last log

I think I have tried to pay my due respect to all the members.

Sina hasira na mtu niliewahi kumkazwa katika mihemko ya hoja za (its not personal tukikutana na siasa tu maana kule ndio nilikuwa na ugomvi na watu kadhaa) na kwa yeyote anaedhani alinikwaza hata wale niliowaweka kwenye ignore lists. Siwajuhi at personal level so tuyaachie JF.

Thanks mods kwa kuniacha niage nitakavyo.

after this

Mayor Quimby

Out 👋🤲🙏
 
Can’t see the emoji but whatever comes from you is always appreciated.

Me too I am sort of mind reader kwako kaka to me, after many years of being in JF even if you try to be nasty it’s because of community influence.

Hila kaka Mshana Jr even if you try to be nasty wewe roho yako ni pure; mengine ni mkumbo kufuata tu wa forum.
Asante sana hizo emojies ni za ku appreciate [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
To cut the long story short akili yangu inaniambia rudi kucheza mzawa kwa huku kijijini nilipo.

Na uchazaji wangu wa uzawa unanibadili fikra na personality kabisa.

Mengine mtanisikia, baada ya kujutafakari nimekubali mipango yangu hipo huku kijijini.

Tanzania willl forever be in my heart.

Take it or leave it this my last JF post,

It’s been a ride wishing all members best of lack

Niilikuwepi

Proffesor Kibassa

🙏🙏🙏

PS do not imitate me mods

It has been a wonderful ride, but it has to end.
We si ndo yule mtaalam wa mambo ya kodi?

Kijijini unaenda kufanya nn tena? Au mashamba yana TIN numbers siku hizi?
 
Back
Top Bottom