Byuti Byuti vs Unstopable

Pununkila

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
689
Reaction score
1,706
💥BYUTI BYUTI vs UNSTOPPABLE

Direct Footbal vs Lunyas Phylosopy.

✍️Game approach and Mentality.

Ni mchezo unaohitaji nidhamu ya hali ya juu na wachezaji wenye uwezo wa kuamua matokeo kwa timu zote mbili.

✍️Techniques and Tactics.
Mifumo ya walimu kwa soka la kisasa hutegemea na kubadilika kwa mchezo kila baada ya dakika chache na baada ya kuusoma mchezo pindi unapoanza.

✍️Nabi ni muumini wa 4,1,4,1 na 4,2,3,1 na 4,2,3,1.wacheze mpira wa chini kwa pass fupi fupi na mashuti kwa speed na nguvu with skills, anafanya buildup kuanzia kwa GK.

✍️Zoran ni muumini wa mpira wa pass akichezea kwenye Zonal 14 buildup kuanzia kwa GK , zinapigwa pass fupi za pembe tatu kuelekea lango la mpinzani.

✍️ Kikosi cha kwanza Yanga.
1. Diarra,2. Djuma, 3:Kibwana , 4:Job, 5:Bangala
6: Bigirimana, 7: Farid, 8:Aucho, 9: Mayele, 10: Aziz,11: Feisal .

✍️Kikosi cha kwanza Simba.
1: Kakolanya, 2:Kapombe, 3:Tshabalala, 4:Enock, 5:Oattara, 6:Mkude, 7:Sakho, 8:Okwa, 9:Kibu, 10: Okrah, 11:Chama.

✍️Kama Yanga wataamua kuja na 3,5,2 na Conuter attack,Sakho,Okwa na Okrah Wana jukumu la ku-unlock diffence line na kutafta magoli ku-create chances za magoli.

✍️Kama Simba wanakuja na 3,5,2 loa blocking systerm, Farid, Fei na Ki watatakiwa kuamua mchezo.

Atakayeingia kwenye mfumo wa mwenzake Atapoteza mchezo.

#Jiandae kuhesabiwa.
#NguvuMoja #DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Byut byut leo lazima tuwalambe hakuna namna mnataka ukubwa mbele ya Simba wakati mna udogo kama wa fisi uko utopoloni mkaririshwa historia tu miaka yote wakati zama za kuishi kimazoea zimepitwa sie tunapambana kimataifa kazi yenu kupokea wageni msipoalikwa caf mnalialia hii mechi kwetu ni ya kawaida muhimu kutofungwa na hawa kima kila la kheri mnyama
 
FT. YANGA 1-4 SIMBA

Ki Aziz 63'

P. Sakho 12'
Okwa 36', 54'
Chama 81'
 
Kinyonge sana ndugu.
 
Kinyonge sana ndugu.
Hii mechi kwetu ni ya kawaida hata kama derby muhimu kutofungwa na utopolo level za SIMBA sio kumfunga yanga tu tumeshamfunga sana yanga lakini tulikuwa tupo pale pale now days mechi yetu ya yanga ni kama njia ya kufanya vizuri kimataifa nyie kama lengo kuu kumfunga simba tuu haya subirini ila kwa kikosi chetu sina shaka kimekamilika sio cha mwaka jana acha kukariri mwaka huu tupo vizuri
 
Akili za mashabiki kindakindaki wa MAKOLOKOLO FC ukiwaangalia vizuri, utaamini madishi yao yameyumba kidogo.
 
Yanga princess ndio walipaswa kuwa na slogani ya byuti byuti sasa nashangaa hawa vidume wanatumia vipi hi nyuti nyuti…
Wanamuenzi Player wao mpendwa Kabwili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
beauty beauty imefanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…