Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wako wapi waanzilishi wa chama hiki?
Mzee mwana kijiji nadhani unajua mengi, tujulishe tafadhali.
Mzee mwana kijiji nadhani unajua mengi, tujulishe tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako wapi waanzilishi wa chama hiki?
Mzee mwana kijiji nadhani unajua mengi, tujulishe tafadhali.
Mna wasiwasi tu... CCK ipo na inaendelea... ukiuliza "wako wapi" wapo walioondoka baada ya mambo kuwa magumu na wapo waliobakia na kujiunga na CCJ na kuanza kuijenga kuanzia chini kabisa.
Wehu unaanza hivi..............wapi CCJ sawa na CHADEMA wote kwishnei
Wehu unaanza hivi..............
Ni mwaka wa sisi m kuondoka. Mtu wa Pwani wenzio wameshabadilika umebaki wewe tu. Chagua Chadema Chagua Dr Slaahata bado na utamaliza maneno ila rafiki yangu huu ni mwaka wenu wa kuangukia pua
hata bado na utamaliza maneno ila rafiki yangu huu ni mwaka wenu wa kuangukia pua
mna wasiwasi tu... Cck ipo na inaendelea... Ukiuliza "wako wapi" wapo walioondoka baada ya mambo kuwa magumu na wapo waliobakia na kujiunga na ccj na kuanza kuijenga kuanzia chini kabisa.