C.I.A imetangaza ajira kwa Wachina, Korea Kaskazini na Iran

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Tangazo kwa lugha za kichina ,mandarini, korea na kiajemi limewataka watu walio na sifa na walio na siri za yale wanayoyatafuta watume maombi ya kazi ili wafikie msimbo wa website yao.

Hii inamaa kuwa CIA sasa inapanua kufikia nchi hizo kama ilivyofanikiwa kwa urusi na hilo ni sera ya kipekee ya Rais Biden la kuongeza idadi ya watendaji katika taasisi zote za intelijensia za USA.

USSR
=======
Shirika la Ujasusi la Marekani limezindua mpango mpya wa kuwaajiri watoa habari nchini China, Iran na Korea Kaskazini.

Shirika hilo lilichapisha jumbe kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii katika lugha ya Mandarin, Farsi na Korea siku ya Jumatano, likiwaelekeza watumiaji jinsi ya kuwasiliana nalo kwa usalama.

Juhudi hizi za hivi punde zinafuatia kampeni ya kuwasajili Warusi kufuatia uvamizi wa Ukraine, ambao CIA inasema ulifanikiwa.

"Tunataka kuhakikisha watu binafsi katika tawala zingine za kimabavu wanajua kuwa tuko wazi kwa biashara," msemaji wa CIA alisema katika taarifa.
20241003_192117.jpg
 
Attachments

  • 20241003_192117.jpg
    20241003_192117.jpg
    218.3 KB · Views: 2
"Tunataka kuhakikisha watu binafsi katika tawala zingine za kimabavu wanajua kuwa tuko wazi kwa biashara," msemaji wa CIA alisema katika taarifa.
Haha,
Labda hawana haja au maslahi na nchi za Afrika ambapo tawala za kimabavu zimetamalaki
 
Na wao
Tangazo kwa lugha za kichina ,mandarini, korea na kiajemi limewataka watu walio na sifa na walio na siri za yale wanayoyatafuta watume maombi ya kazi ili wafikie msimbo wa website yao.

Hii inamaa kuwa CIA sasa inapanua kufikia nchi hizo kama ilivyofanikiwa kwa urusi na hilo ni sera ya kipekee ya Rais Biden la kuongeza idadi ya watendaji katika taasisi zote za intelijensia za USA.

USSR
=======
Shirika la Ujasusi la Marekani limezindua mpango mpya wa kuwaajiri watoa habari nchini China, Iran na Korea Kaskazini.

Shirika hilo lilichapisha jumbe kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii katika lugha ya Mandarin, Farsi na Korea siku ya Jumatano, likiwaelekeza watumiaji jinsi ya kuwasiliana nalo kwa usalama.

Juhudi hizi za hivi punde zinafuatia kampeni ya kuwasajili Warusi kufuatia uvamizi wa Ukraine, ambao CIA inasema ulifanikiwa.

"Tunataka kuhakikisha watu binafsi katika tawala zingine za kimabavu wanajua kuwa tuko wazi kwa biashara," msemaji wa CIA alisema katika taarifa.
Pia na wao wanachunguzwa
 
Majasusi wa hizo nchi ndiyo watatumwa kujiunga na cia
 
Back
Top Bottom