Jamani wadau ebu tusaidiane kwa hili hivi ni kweli kwamba c ya private candidates inaanzia 57 au ndio uzushi wa wabongo mana kuna mtu amepata four ya 27 na ana c mbili lakini hataki kutafuta c ya tatu anahofia kushindwa kufikisha 57 ameamua kuwa mjenzi