C inaanzia 57

C inaanzia 57

Joined
Jul 28, 2012
Posts
13
Reaction score
3
Jamani wadau ebu tusaidiane kwa hili hivi ni kweli kwamba c ya private candidates inaanzia 57 au ndio uzushi wa wabongo mana kuna mtu amepata four ya 27 na ana c mbili lakini hataki kutafuta c ya tatu anahofia kushindwa kufikisha 57 ameamua kuwa mjenzi
 
Sio kweli,hayo ni maneno ya vijiweni!
 
Back
Top Bottom