theysaidno
Member
- Feb 14, 2012
- 36
- 3
Kazi nyingi za Cabin Crew kwa watanzania.
East Africa Job Board::Free jobs for all in Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda and South Sudan: CABIN CREW (40 POSTS) at Precision Air in Dar,Tanzania
Asanteni
Precision Air Nyambafu zao. Wanatangaza post huku kuna watu wao wameshawandaa
kaka sio HB nn??Precision Air Nyambafu zao. Wanatangaza post huku kuna watu wao wameshawandaa
Mkuu acha kulalamika wewe kama unaqualify tuma application usiishi kwa mazoea unaweza kukuta hiyo ndiyo nafasi yako......... DONT FAIL BEFORE YOU TRY
Thanks
Vigezo na masharti kuzingatiwa..... uwe mrembo tena mrefu, HB, lafudhi tamu, kidhungu ni default... :blah::blah::blah:
Umejuaje?Msiumize kichwa watu wamesha andaliwa kwa kazi hizo.Msisumbuke.
shimboni shafo