CABIN CREW (40 POSTS) at Precision Air in Dar,Tanzania

CABIN CREW (40 POSTS) at Precision Air in Dar,Tanzania

Status
Not open for further replies.
Precision Air Nyambafu zao. Wanatangaza post huku kuna watu wao wameshawandaa
 
Vigezo na masharti kuzingatiwa..... uwe mrembo tena mrefu, HB, lafudhi tamu, kidhungu ni default... :blah::blah::blah:
 
Precision Air Nyambafu zao. Wanatangaza post huku kuna watu wao wameshawandaa

Mkuu acha kulalamika wewe kama unaqualify tuma application usiishi kwa mazoea unaweza kukuta hiyo ndiyo nafasi yako......... DONT FAIL BEFORE YOU TRY

Thanks
 
kuwa HB ni kigezo cha kupata hiyo kazi?
Kwani ni ya uhudumu wa Casino au?
 
Dah hawa cabin bana, mi kuswim siwez afu nna 24 wajamen
 
Hakuna kazi ninayoichukia kama hiyo,Shida kubwa hipo wakati wa kuruka ni balaaa..wanilipe mshahara wa namna gani hata sikubali..Ndege kubwa tu zinanipa tabu,sembuse hizi yebo yepo..

Anyway all applicants i wish good luck...
 
Mkuu acha kulalamika wewe kama unaqualify tuma application usiishi kwa mazoea unaweza kukuta hiyo ndiyo nafasi yako......... DONT FAIL BEFORE YOU TRY

Thanks

walitangaza nafasi 30 kama miezi 2 iliyopita Watu walio apply Hadi Leo kimya... Uki apply precision unapoteza Muda na Pesa yako bure.
 
Sawa tutajaribu tuone itakuaje, asante sana kwa taarifa hapa jamvin!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom