Cabinet approves city status for 2 more towns

Kigali the cleanest city I have ever seen
chai!!!
kig1.jpg
Hahaha see mmekutana. ...
Kigali ni level nyingine mzee, Mji wao ungekuwa active basi ingekuwa ndo Newyork ya East Africa.
 
Miji yote iliyojengwa kwenye maeneo yenye haki nzuri ya hewa naturally ni mizuri na misafi. Wakati Tanzania miji mikubwa ambayo ina mwonekano mzuri na mazingira masafi haizidi saba (Moshi, Arusha, Morogoro, Mbeya, Iringa, Njombe na Kasulu), Kenya ni zaidi ya Kumi na 15 (Nairobi, Thika, Murang'a, Kiambu, Nyeri, Meru, Nanyuki, Nakuru, Eldoret, Kitale, Bungoma, Kakamega, Kisii, Kericho na Migori).
Kenya wao asilimia zaidi ya 80% ya Wakenya, wako kwenye ukanda wa hali nzuri ya huwa isiyo na joto kali, wakati Tanzania ni asilimia chini ya 30% ya Watanzania wanaoishi maeneo yenye hali nzuri.
Kenya ni wazuri sana katika mazingira wanapanda sana miti. Ukiwa unatokea Tanzania mpaka wa Silari kwa Kenya Isibainia ukianza tu kuingia Kenya mazingira yanabadilika wakati mazingira na geographical position ni ileile, sababu wako makini na mazingira

Kuna maeneo mengi sana Tanzania naturally ni mazuri kwa mazingira lakini miji yake haifui dafu kwa Kenya. Ingekuwa mazingira ndio kila sababu ya miji kuwa mizuri basi Tanga, Bukoba, Kigoma, Sumbawanga nk ingkuwa mizuri sana sawa na Nyeri, Thika na Nakuru maana zina mazingira mazuri.

Hebu tuangalie mji wa Kisumu unaofanana sana na Mwanza mazingira yake angalia ulivyopangiliwa ukiwa na miti na bustani nyingi kuliko Mwanza au chukua Eldoret inayofanana mazingira na Babati utaiona Eldoret imepangwa vizuri na kujengeka. People, is not only geographical position as the main factor but human efforts made those cities to be beautiful and well planned
 
whats your criteria for naming an urban centre as a city.
coz if we use that we will have 25 cities.😀
Hahaha,i'd like to know the criteria too since a saw real residential slums of mabati and wood in the midst of tall office buildings in Addis Ababa...and they still call it a real CBD.
 
Usafi wa Kigali unabebwa zaidi n udogo wa mji wenyewe...ni sawa tu n kinondoni iyo Kigali
Sasa ukisema vile,je utasema nini msingi wa usafi wa hali ya juu wa Tokyo mji wenye watu milioni 35? . Kwanini Air Tz n udogo wake haifaulu ilhali Ethiopian Airlines na ukubwa wake ni mfano wa hali ya juu? Tafakari hayo na uwiano wake na ulivyosema.
 
Tokyo ulimwengu wa kwanza usafi kwao sio tatizo wameendelea ni rahisi ku manage pia elimu imewafikia watu wengi zaidi...
shaka miji yetu ni elimu sababu bado watu hutupa taka ovyo hawataki kuelimika!! Ndege ni issue tofauti tuiache

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Kenya ni wazuri sana katika mazingira wanapanda sana miti. Ukiwa unatokea Tanzania mpaka wa Silari kwa Kenya Isibainia ukianza tu kuingia Kenya mazingira yanabadilika wakati mazingira na geographical position ni ileile, sababu wako makini na mazingira

Kuna maeneo mengi sana Tanzania naturally ni mazuri kwa mazingira lakini miji yake haifui dafu kwa Kenya. Ingekuwa mazingira ndio kila sababu ya miji kuwa mizuri basi Tanga, Bukoba, Kigoma, Sumbawanga nk ingkuwa mizuri sana sawa na Nyeri, Thika na Nakuru maana zina mazingira mazuri.

Hebu tuangalie mji wa Kisumu unaofanana sana na Mwanza mazingira yake angalia ulivyopangiliwa ukiwa na miti na bustani nyingi kuliko Mwanza au chukua Eldoret inayofanana mazingira na Babati utaiona Eldoret imepangwa vizuri na kujengeka. People, is not only geographical position as the main factor but human efforts made those cities to be beautiful and well planned
Unakosea kulinganisha Eldoret dhidi ya Babati kwa sababu Babati ni pakame lakini Eldoret kuna hali nzuri ya hewa. Hata kuna utofauti wa hali ya hewa ya Mwanza na ile ya Kisumu japokuwa miji yote iko katika ukanda unaolingana.
Huwezi ukaulinganisha mji wa Sumbawanga na miji ya Nyeri, Thika na Nakuru kwani Sumbawanga licha ya ubaridi lakini ina ukanda wa miezi minne mfululizo, nenda kwa Wakenya huko miji hiyo mitatu inapata mvua miezi yote. Ndiyo maana kimazingira miji hiyo ni mizuri.
Aidha, mji wa Tanga unapata mvua miezi yote kama miji ya Wakenya but Tanga iko Pwani kwenye joto kali, ndiyo maana haiwezi kamwe kuwa na kijani kibichi kama cha miji ya interior. Kwanza huwezi kulinganisha Tanga na Wilaya ya Muheza hasa huko ukanda wa Amani. Tanga king Aisha na Mombasa.
So labda kama una jingine ndugu, hiyo miji ya Kenya naifahamu vyema kijiografia hivyo nilikuwa nalinganisha vitu ninavyovifahamu.
Of course Bukoba ina hali nzuri ya hewa lakini kutokana na kuwa chini mita 1200 una hali ya hewa ya kitropoki ambayo huwa na joto jingi na mvua nyingi. Japokuwa Bukoba ina joto la wastani 21'C linapungua kutokana na mvua nyingi mm 2,000. Mvua nyingi tu haifanyi eneo kuvutia but aina ya uoto. So, uoto bora ni ule wa maeneo yenye mwinuko wa kati ya mita 1500 - 2,500 halafu yakiwa na mvua throughout the year.
 
Eldoret imepandwa miti ndio maana hali ya hewa imebadilika. Kwa kifupi Kenya wanapanda miti na wameijenga miji yao kwa mipangilio mambo ya kusingizia mazingira kuwa sababu ni no use. Kisumu inamatch Mwanza kwa aspect zote inaonekana jema zaidi sababu wanapanda miti. Bukoba ile ingekuwa Kenya ni full misitu, Sumbawanga ingekuwa full baridi. Angalia Machakosi ilivyo na ukame lakini imepandwa miti na kuwa njema na kupendeza kuliko Tabora isiyo kame. Machakosi ni kama Shinyanganga kwa mazingira lakini ilivyopangiliwa na kustawoshwa miti Shinyanga hasogei hata kwa nukta. Kwa hili givi to Kenyans wanatupiga bao labda tuongelee mengine
 
Back
Top Bottom