Cable ya Kibalozi kuhusu Tanzania

Cable ya Kibalozi kuhusu Tanzania

Cable inaonyesha msaada wa dola milioni 30 uliotolewa na Uiingereza mwaka 1974.

Msaada huu wa miaka mitatu ulitolewa katika ziara ya Waziri wa Maendeleo ya Nje wa Uiingereza, Bibi Judith Hart, alipokuja Tanzania mwaka 1974.

Bibi Hart alionana na Nyerere na viongozi wengine wa Tanzania.

Katika msaada huu, kuna fedha za kuwaleta wajuzi mbalimbali kutoka Uiingereza kusaidia Tanzania, kupeleka Watanzania kusoma Uiingereza, kuongeza walimu UDSM na kulipia gharama za kuleta maendeleo ya vijijini.

MWISHO

Cable na tafsiri nimeifupisha.

Wikileaks.org

UK OFFERS CAPITAL AID PROGRAM TO TANZANIA
Date:1974 June 26, 11:20


SUMMARY: UK HAS OFFERED $30 MILLION CAPITAL AID AND TECHNICAL ASSISTANCE PACKAGE TO TANZANIA IN WAKE OF VISIT BY BRITISH MINISTER FOR OVERSEAS DEVELOPMENT.

AID WILL COVER AT LEAST
THREE YEAR PERIOD.

THIS IS FIRST UK CAPITAL AID PROGRAM IN TANZANIA
SINCE 1965.

UK MINISTER FOR OVERSEAS DEVELOPMENT, MRS. JUDITH HART, VISITED TANZANIA JUNE 16-22.

SHE MET WITH PRESIDENT NYERERE, FIRST VICE PRESIDENT JUMBE, FOREIGN MINISTER MALECELA, COMMERCE
AND INDUSTRIES MINISTER JAMAL, AND ECONOMIC AFFAIRS AND
DEVELOPMENT PLANNING MINISTER CHAGULA.

OVERALL PACKAGE, WHICH TOTALS ABOUT $30 MILLION,
WILL COVER AT LEAST THREE YEAR PERIOD.

AID PACKAGE WILL COVER FOLLOWING ON-GOING OR PREVIOUSLY AGREED UPON PROGRAMS:

(A) FUNDING AND TOPPING OFF OF PROFESSORS AT UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM.

(B) VARIOUS TRAINING PROGRAMS IN UK

(C) FUNDING FOR PAYMENT OF PENSIONS TO FORMER UK CIVIL SERVANTS IN TANZANIA.

(D) FUNDS FOR TRANSFER TO TANZANIA, ON BASIS OF AGREED VALUATION, OF FARMS WHICH ARE STILL BEING OCCUPIED BY BRITISH NATIONALS, I.E. KILIMANJARO FARMERS.

THESE FOUR AREAS, HOWEVER, WILL ACCOUNT FOR RELATIVELY SMALL PORTION OF PACKAGE.

REMAINDER WILL BE DEVOTED TO RURAL DEVELOPMENT PROJECTS.

NO INTEREST WILL BE PAYABLE ON LOAN. REMAINING $3 MILLION WILL BE PROVIDED AS TECHNICAL AID, I.E. FOR SENDING UK SPECIALISTS TO TANZANIA.
 
labda ulikuwa hujazaliwa! kulikuwa njaa kali foleni za "unga wa yanga" unapanga mawe!! angalia vizuri hizo records zako!

Kwa hiyo unafikiri wote hapa ni kina Matonya au watoto wa watumwa kama JK
 
Nyerere amehutubia katika redio mwaka 1974 kuhusu njaa inayokabili taifa na amenunua chakula na kuomba chakula nchi mbalimbali.

Nyerere aliomba misaada kwa nchi mbalimbali kama Marekani, Kanada, Uholanzi na Finland.

Misaada hio siyo tu ya chakula.

Baadhi ya nchi za Ulaya kama Uholanzi na Finland zimesaidia pia kuikomboa Afrika kwa kuwapa fedha na sauti, makundi ya wapiganaji uhuru kama Frelimo ya Msumbuji.

Marekani imejenga barabara na kukopesha serikali ya Nyerere na pia kuombwa isaidie maendeleo ya vijiji vya ujamaa kwa kuombwa misaada kama jenereta na ujenzi wa hospitali vijijini.

Uiingereza imeleta wataalam wake kufundisha Tanzania na kusomesha wanafunzi wetu kwao na kutafuta na kulipa walimu wa UDSM.

Kuomba misaada umeanza na Nyerere , kutoka ujenzi wa barabara mpaka katika vijiji vya ujamaa.

Ukombozi wa Msumbiji na Angola umesaidiwa na baadhi ya nchi za Ulaya Magharibi pia.
 
Huko nyuma kuna wachangiaji wengi waliandika Nyerere sijui hatii amri ya mabepari
1.Njaa mbaya kaka, Adui muombee Njaa,Kwenye njaa unaweza kumuuza hata mkeo.

Nakubaliana na wewe, kuomba misaada ni aibu, hasa vitu vya thamani ndogo, kama gari la mgonjwa (huku mwombaji anatembelea la kifahari).
2.Hii Sentensi imenigusa sana, Viongozi wa Afrika ni watumwa wa mawazo, unaenda kuomba msaada wa Ambulance wakati wewe muombaji umekuja na Private Jet!!! Msafara wa Rais magari 10, magari matano tu yanatosha kununua Ambulance 20.
 
-- Tulilemazwa, ila baada ya muda kuna mikoa ilishtuka wakaanza kufanya kazi kwa bidii, mpaka sasa kuna baadhi ya mikoa ina maendeleo kuliko mingine. Hata hivyo kuna watu wa nchi nyingine wakija hapa nchini wanatushangaa kwa rasilimali tulizonazo afu bado tunalialia.
-- Fikiri misitu iliyopo karibu kila mkoa lakini mpaka leo kuna shule hazina madawati, aibu gani!
-- Mbaya zaidi hata hapo Magogoni kwa mkulu samani (furniture) zote ni in-ported (za kichina) sasa kama hata ikulu haioni fahari kutumia vitu halisi, kazi ya mikono ya watanzania.
-- Ingependeza pale unapoingia ofisi hasa za serikali unakuta furniture alafu ukimuuliza mtu pale ofisini anakuambia tena kwa kujivuna kwamba haya ni matunda ya pori la Biharamulo kule Kagera, Peramiho kule Ruvuma, Kindoroko kule Kilimanjaro, Mto Mara kule Mara, Nachingwea nk badala yake utaona watu wanajisifia vitu vya watu utasikia tena bila aibu kitu cha Dubai hiki bwana! Kitu cha Hongkong, China, South Afrika nk.
-- Kwa vile hatuna uzalendo tunaona hata kuomba ni haki yetu!
 
Cable hii inasema Nyerere kapata ajali barabarani lakini hajaumia.

Ajali ilitojea Jumamosi saa 12 jioni, Julai 21, '74 alipokuwa anarudi nyimbani kwake Masaki baada ya kufanya mazungumzo na Marais Mobutu na Micombero.

Habari hii hawakutaka kutangazwa kwa kuwa dereva aliyemgonga alikuwa Mhindi. Walifanya hivyo kupunguza wananchi wasichukue hatua mbaya dhidi ya Wahindi.

Habari hii imetangazwa na VOA Jumatatu lakini walikosea siku ya ajali. Magazeti ya Tanzania hayajatangaza.

MWISHO


Cable na Tafsiri nimefupisha.

Wikileaks




ACCIDENT INVOLVING PRESIDENT NYERERE

Date:1973 July 23, 06:13 (Monday)

A CAR IN WHICH PRESIDENT JULIUS NYERERE WAS RIDING WAS STRUCK ON OCEAN ROAD SATURDAY EVENING, 21 JULY, ABOUT 1800 HOURS.

THE PRESIDENT WAS BADLY SHAKEN BUT AS FAR AS WE ARE ABLE TO DETERMINE SUFFERED NO SERIOUS INJURIES.

THE PRESIDENT WAS RETURNING TO HIS MSASANI BAY RESIDENCE
FOLLOWING TALKS IN STATE HOUSE WITH PRESIDENTS MOBUTU AND MICOMBERO.

THE EMBASSY HAS LEARNED FROM USUALLY RELIABLE SOURCES THAT THE TANZANIANS HAD HOPED THAT THE STORY WOULD BE UNREPORTED SO AS TO MINIMIZE ANY POSSIBLE ADVERSE REACTION SINCE THE DRIVER OF THE SMALL TRUCK WHICH STRUCK THE PRESIDENT'S CAR WAS AN ASIAN.

THE STORY HAS SO FAR BEEN UNREPORTED IN TANZANIAN MEDIA, BUT WAS HEARD MONDAY A.M. ON VOA 0630 NEWSCAST. THAT NEWSCAST IMPROPERLY IDENTIFIED THE ACCIDENT AS HAVING OCCURRED ON SUNDAY,
JULY 22.
 
Back
Top Bottom