Nico1
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 824
- 301
Nawasalimu nyote kila mmoja kwa nafasi yake , kama nilivyoeleza hapo juu , kwa yeyote anaweza kupata hizo cable za photocopy machine IR 2520 -cable ya kutoka kwenye IP board kenda katika scan board pana na cable ya kutoka scan board kwenda ADF.
Nipo Dar maeneo ya posta -0753390827
Nipo Dar maeneo ya posta -0753390827