Cacico Unaupeleka mbio moyo wangu.

Last edited by a moderator:

umwambie awe makini na finishing line kwani kuna watu waajilipua sikuhizi..
 
Last edited by a moderator:
Ooooohhhhhh my lord!!! Bujibuji umenipenda, lakini nishapenda!
Babu Asprin alinibikiri, kumuacha nimedhikiri,
kujigawa nimeshindwa, tunda langu nalilinda!
Nisamehe sitaweza, babu alishaweza!
 
Last edited by a moderator:
na wewe nazjaz hebu acha ushabiki maandazi! Kwanza wewe ndio umenisababishia hili zigo la misumari baada ya kumkataa buji.
mwaJ hivi kumbe hata ukiwa mama bado mtu unakuwa unapendwa eeeeee?? Hebu ongea na babu Asprin azidishe kuniloga, naona mapenzi yanataka kugawiwa!
 
Last edited by a moderator:

Masikini Bujibuji umegeuka kuwa fungu la kukosa. Siku hizi unatupa ndoano kwa kila mwanamke unayemuona mbele yako lakini bado tu unachezea za uso.!!!

Ushauri wa bure, nenda kajitupe baharini katika mkondo wa Nungwi ili uondoe mkosi, vinginevyo utahangaika sana lakini hutofanikiwa.

Sisi wenye bahati zetu tumejituliza kama kasuku twala vyetu kwa raha zetu na mahabuba wangu mwaJ na familia yetu bora wanetu wametulia adabu asilimia 200 Zion Daughter na mdogo wake snowhite.
 
Last edited by a moderator:
tunaanzaje kuwa na adabu mbofu mbofu!sisi love yu sana dadii na momii!
 

shikamoo mama mkwe...
Habari za huko...
 
Last edited by a moderator:

safi sana mke mwenza...
 
Last edited by a moderator:
shikamoo mama mkwe...
Habari za huko...

Marahaba mkwe, hujambo stevoh?
Ila mie siku hizi ninazeeka vibaya maana napoteza kumbukumbu. Mnh, na hivi tumepokea barua za posa mbili tatu na bado hatujajibu hata moja, hebu nikumbushe, hiv wewe ni mkwe kwa mwanangu Zion Daughter au snowhite?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…