Caesar Manzoki Ajiunga na Dalian Pro

Caesar Manzoki Ajiunga na Dalian Pro

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Mshambuliaji Cesar Manzoki amejiunga na Dalian Pro FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini China akitokea Vipers ya Uganda

#mwanaspoti
#mwanaspotiupdates
#tunawezeshataifa
FB_IMG_16617571610136917.jpg
 
Kwa drama zilizokuwa zinaendelea hata sisi mashabiki wa Simba tukaona heri Simba iachane naye tu, ni vizuri kapata timu na imejulikana ,sasa Simba wawekeze akili kuwanoa hawa waliokuwa nao .
 
Back
Top Bottom