Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Pamoja na mimi kuwa mshabiki wa team nyingine ila hili wanalofanya Plateau ni soka la Kizamani sana. Fitna na Hujuma havisaidii mpira.
hawa ni kuwatibu kama wydada vs mamelodi waarabu wa morroco wamesha nyooka kabisa siku hizi wamepunguza ujanja ujanja huu.
nakumbuka mechi za msimu uliopita mamelodi alianzia ugenini mechi ya makundi akafanyiwa uhuni wa ajabu ajabu kama huu.
mamelodi walitoa option kama kufanikiwa basi mtafanikiwa kwa haya mliofanya lakini kama mtafeli kupata matokeo basi kwa madiba mmepanda miba wenyewe.
vijana wa pitso walipambana kufa kupona pamoja na ujanja ujanja wa wydad ngo ikamalizika kwa suluhu tasa.
hapo hapo pitso kaita uongozi wa wydad na kuwambia karibuni south mje mkitambua chochote kizuri mlichofanya sisi tutafanya mara 10 zaidi na kama kuna lolote baya mlilotufanyia basi sisi tunakwenda kufanya mara 100 yake na hapo watu wakapanda ndege kurudi south.
muda wa mechi ukwadia na wydad wakasafiri salama. walivyopokelewa ni hivyo hivyo mpaka muda wa mechi yani jamaa waliwekwa kwenye nyumba ndogo sana ambapo waliweza kukaa tu hakuna kulala wala mazoezi hayakufanyika kwa wakati.
matokeo mamelodi anampiga mtu 2 vzr kabisa bila shida. alafu wakaambiwa wande wakafanye tena yale kama yana faida basi wamefaidika. kama ni mabaya basi waache. kiukweli zimekuwa siku hakuna timu ilioenda kucheza morroco wakalalama tena na hivi vitu vya ajabu.
so hapo what if, jamaa watafeli kupata matokeo?