CAF angalieni Soka la Afrika kuna kipindi Vitakuja tokea Vita

Yaani leo mikia ndo mwisho wenu leo mna bugizwa, si chini ya 7 bila mamayo zenu, yaani mnauwawa ugenini kisha mnakuja kuzikwa nyumbani nguruwee nyie....
 
Simba wapambane uwanjani, Izo figusu ni zakawaida kwenye mechi za Caf kuto onyesha kwa mechi ni Jambo dogosana kunafigisu bado watakutana nazo kabla na baada ya mechi ndio maana Simba wanaitwa wa Mchangani maana hawajui kimataifa mechi zinakuaje.
Ayo ni Mambo ya kawaida Uko magharibi au kaskazini ya Afrika, Nikama wao Simba walivyokua wakipulizia Dawa vyumba vya timu pinzani.
 
Supersport huwa wanaanza kuoneshaga kwanzia hatua ipi? Sidhani kama kwanzia hatua ambayo supersport wanaanza kuonesha kama kuna timu yeyote ile yenye ubavu wa kudiriki kuzuia mechi yao kutooneshwa live.
kuanzia hatua ya makundi.
 
... ndio maana Simba wanaitwa wa Mchangani maana hawajui kimataifa mechi mechi zinakuaje
He he hee! Nadhani ulikuwa unaandika kwa utani tu, maana kwenye soka la kimataifa, timu inayojulikana kutoka Tanzania ni Simba tu. Hata Mukoko Tonombe amekiri kwamba hadi anapokelewa airport alikuwa anajua anakuja kucheza Simba, hadi Tuisila alipomshtua
 
kuanzia hatua ya makundi.
Pengine labda kuna kitu hawajaafikiana hasa upande wa kimaslahi kati ya plateau na Azam media. Haki ya matangazo ni biashara kama zilivyo biashara zingine. Ni lazima kufanya negotiation na kufikia muafaka.
 
Hawataki mechi ioneshwe live kwasababu zipi? Kama ni terms za malipo hazijaafikiana basi waoneshaji waweke huo mpunga unaohutajika ili mechi ioneshwe live.
Nami nadhani ni ishu ya mpunga
 
Aisee wewe huko Utopoloni upi kimakosa!
Kuna watu wanajielewa mkuu. Mwingine ni huyu mdau 1kush africa naye unaweza kusema yupo mbumbumbu fc kimakosa

Inabidi tuwe na uzi maalum wa kutambua washabiki kama hawa. Hakika hawa ndo wazalendo kweli kweli
 
Pengine labda kuna kitu hawajaafikiana hasa upande wa kimaslahi kati ya plateau na Azam media. Haki ya matangazo ni biashara kama zilivyo biashara zingine. Ni lazima kufanya negotiation na kufikia muafaka.
Kwa hakuna bei elekezi za kurusha matangazo..

Maana huwezi ukawa unajiamulia tu mfano mechi fainali caf,irushwe kwa buku wewe yako unataka elfu 10..kisa unakomoa ili isirushwe..

Nadhani CAF kama mwenye ligi ndiye awe anatoa hizo rights na timu kupewa chake tu kama migao mingine.
 
Kwakweli sijui kama kuna bei elekezi ama lah. Na ndio maana nikasema Supersport huwa anaonesha mechi za Caf champions league na sidhani iliwahi tokea timu ikawagomea Supersport wasirushe matangazo live. Kuna kitu hakijakaa sawa nahisi hasa upande wa maridhiano kipesa kati ya Azam na Plateau. Au basi tuambiwe sababu walizotoa Plateau ni zipi.
 
 
Mbona ujamalizia tukaja kwa Ud songo napo ikabuma
 
Yaani leo mikia ndo mwisho wenu leo mna bugizwa, si chini ya 7 bila mamayo zenu, yaani mnauwawa ugenini kisha mnakuja kuzikwa nyumbani nguruwee nyie....
ki.ma weww
 
we jamaa mp.uuzi kweli
 
Hatua za awali haki za matangazo wamepewa team mwenyeji ila kuanzia makundi haki za matangazo ni za Caf so Plateau wametumia hicho kigezo kufanya yao kitaratibu hawana makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…