CAF angalieni Soka la Afrika kuna kipindi Vitakuja tokea Vita

Hatua za awali haki za matangazo wamepewa team mwenyeji ila kuanzia makundi haki za matangazo ni za Caf so Plateau wametumia hicho kigezo kufanya yao kitaratibu hawana makosa.
Shukrani kwa ufafanuzi
 
hawataki mechi ionyeshwe live halafu walikuw an aplan ya kusingizia wachezaji wa5 wa simba wana corona wasicheze,chama,boko,luis,kagere,manula
Kwenye hali kama hii, mimi hua naweka ushabiki wangu wa Yanga pembeni, Taifa langu kwanza, haya wanayofanyiwa Simba kama ni kweli lazima tushirikiane nao kuhakikisha upuuzi kama huu haupati nafasi ya kuendelea kufanywa hii ni sawa na hujuma kwa Taifa langu, Together we can make it.!!
 
Hao nguruwee pori a. k. a mikia fc bado hawaja chinjwa tuuu wananchi tuserebukee mitaani????
 
Lakini Cha kufurahisha ni kwamba hii game ina home and away......na bahati mbaya kwao ni kwamba game limeanzia kwao...Sasa wafanye yoooote ila wajue nao watakuja tu bongo
 
Kwani ni lini tuliacha kupuliza madawa kwenye vyumba vya wachezaji?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Soka la Afrika ukisikia timu mwenyeji haitaki kuoneshwa mechi yake hata usipate tabu kutaka kujua sababu na nini kinaenda kutokea.

CAF walitakiwa kulazimisha mechi zote ni lazima zioneshwe.
Kuna Chanel maalum ambazo hizo game za CAF zinaonyeshwa, kuna mdau kazitaja kwenye uzi mwingine.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Tuambie Libolo

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Simba inajulikana sana Congo DRC, imekuwa ikikalia kila ikikutana na TP Mazembe au Club Vita. Treasor Mputu tutamisi sana.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Simba inajulikana sana Congo DRC, imekuwa ikikalia kila ikikutana na TP Mazembe au Club Vita. Treasor Mputu tutamisi
Ni kwa kuwa hakuna timu nyingine ya Tanzania inayofika hatua za kukutana na timu kali kwenye makundi zaidi ya Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…