CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Nimeshangazwa pia wakati kafika mpaka fainali ya kombe la mbuzi
Labda wana vigezo vyao ,maana ktk kupata hizo timu 10, wamechukua 4 zilizofika nusu shirikisho na na 6 za champions league
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…