CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Raja alifika nusu fainali msimu uliopita?
Nusu fainali ni 8 kwa pande zote,hapo kuna timu 10 so 2 azikufika nusu fainali ila kuna vigezo vilivyofanya wakaingia hapo kutimiza idadi ya timu 10,marumo yuko hapo kwa kufika kwake nusu fainali,hapo hamna viti maalum km kule kwenye super league jomba
 
Your nominees for Club of the Year (MEN) award are here!

#CAFAwards2023

============

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza Timu za Taifa, Vilabu na Wachezaji wanaowania tuzo hizo mwaka 2023 ambapo Taifa Stars ya Tanzania itachuana na Timu za Taifa za Cape Verde, Gambia, Guinea Bissau, Equatorial Guinea, Mauritania, Morocco, Msumbiji, Namibia na Senegal.

Kwa upande wa Vilabu, Mabingwa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga Africans inashindana na CR Belouizdad, USM Alger, ASEC Mimosas, AL Ahly FC, Raja CA, Wyadad AC, Mamelodi Sundowns, Marumo Gallants, na ES Tunis.

Tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika Desemba 11, 2023 Nchini Morocco, zimeiacha nje ya kinyang'anyiro Klabu ya Simba kutoka Tanzania.

Hongereni Uto...mnastahili hiyo tuzo kabisa.
 
Nusu fainali ni 8 kwa pande zote,hapo kuna timu 10 so 2 azikufika nusu fainali ila kuna vigezo vilivyofanya wakaingia hapo kutimiza idadi ya timu 10,marumo yuko hapo kwa kufika kwake nusu fainali,hapo hamna viti maalum km kule kwenye super league jomba
Hakuna viti maalum ila kuna timu 2 zimeingia kutimiza idadi ?
 
Mwisho yanga atachukua yes tutabeba
Simba wajiandae kubebwa na tatu
 
Utopolo derby wameichukulia serious sana
FB_IMG_16988213444891817.jpg
 
Back
Top Bottom